Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
vp taarifa nilzozisikia kuhusu wewe ni za kweli shonza.....? dada yangu kwa umri wako huo mdogo kwa maana ya siasa ila kama ni kuwa mke umri huo mi hunipati.... kufanya siasa za kijasusi na bwana mdogo mwampamba na yule jamaa ambaye juzi juzi alikuwa china ila arusha hayanihusu... hayana afya njema sana kuitimiza ile ahadi ya maandiko matakatifu..... "pia waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani" ....ila kwa utovu wako wa nidhamu huu sidhani.....!!!!! unajua mzazi sio mpaka awe wa kukuzaa binti shonza.....bora utafute hata shule ya kata ukafundishe tempo kuliko haya mambo na siasa zenu hizi za kijasusi ni mbaya sana shonza kwako ni ushauri tu ila angalia usinitukane...........
 
Huyo shonza malaya wa siasa wala hkna kiongozi wa dini aliye toa tamko hlo kwanza doctor slaa yuko marekani hayupo izrael waongo wezi wa ccm hawa shindwa kbsa shindwa ccm
 
Huyo askofu ndiye mtoa hukumu kwa wanadamu, ashindwe ktk jina la yesu hukumu itatolewa siku ya mwisho atakaporudi yesu.
Yeye matendo yake amejichunguza ?
huyo Yesu wa herfi ndogo ni yesu​ yupi?
 
Mambo ya uzinzi hayahusiani na kupigania haki na ukombozi wa kweli.Mbona viongozi wengi tu tena wengine walishaongoza nchi vizuri tu, lakini wanashutuma za uzinzi.Wapo wengine viongozi wakubwa tuuu ktk ngazi za kitaifa wanatuhumiwa kuwa vinara wa kuchovyachovya, na wengine kuchovwa ili kupewa nyadhifa serikalini, na wanafanya vizuri tu.Wewe mwenyewe unashutumiwa kuendesha life kwa issue hizo za uzinzi, mapepo yamekurudi?Acheni kuhukumu wenzenu.Af huyo mchungaji ndio wale mawakala wa....manabii wa u*** go

Kufanya ngono na kununua uzinzi ni sawa na kufanya ufisadi! kujifanya una pinga ufisadi huku nawewe ni fisadi wa ngono ni aibu na fedheha kwa Kiongozi anaetegemea kuwa Rais! labda aje gombea urais wa Tanganyika ikiwa katiba itaruhusu uchafu na ufisadi wa ngono! lakini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kamwe hatatokana na mafisadi wa uchumi wala wa Ngono sababu hapa ni nchi mbili zimeungana mwenye masikio na asikie!!!
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
UMEOOOOONA EEEEH! Yale uliyokuwa unayakemea ndo yanakurudi na wewe sasa (kwi kwi kwi)
 
Kama wewe ni Mungu,basi tangaza hukumu. Kwa kujua au kutojua, kimbelembele au kiherehere na kujiona watakatifu mbele ya Mungu tumekuwa tukitangaza hukumu. Tunakosea bra,
 
Sielewi kwanini hii thread imeachwa kama ya siasa!! Utoto na ujing mtupu!
 
Kwa kweli hata mimi nimemshangaa sana Dr Slaa.

CC; Josephine,

Mshangae Chikwete ambaye hata mke wake anamshangaa kwa ukwale, hata wasanii anazoa! Aje aombewe tabia hiyo ni pepo, aje afanyiwe maombi. Mbona alipodondoka pale jangwani aliletwa kanisani tukamfanyia maombi?
 
Maandiko yasema: Usihukumu nawe usije hukumiwa! Hata ungekuwa nani, andiko hilo linakuhusu! Yamkini huyu Dr.Slaa alishakuwa na nia njema ya kuoa lakini mbinu za kumzuia zikawa lukuki hata hizo za kisheria ambazo sasa zimetupiliwa mbali! Tumuombe Mwenyezi Mungu ampe nguvu tena ya kukamilisha yale mema aliyokusudia bila shetani kumkwaza!!!
 
Sio sidiria tu hata chupi na bado kugongana kanisani kabisa miaka hii watanunuliwa wengi saana
 
kwanza wakristo hatuna hija,pili maneno ya huyu anae jiita mchungaji siyo maandiko,na tatu ajiheshimu.

Hija kwa wakristu ipo.. Kama tu ushawahi sikia au kuona wakristu kwenda jerusalem then utaelewa..
 
Zoezi hili liitwalo Hija, Kwa wakatoliki ni TOBA. suala la TOBA ni muhimu sana na ni agizo la Bwana Yesu "Tubuni na kuiamini Injili" [Injili ya Marko 1:15]. Biblia pia inasema kwamba Binadamu wote ni wadhambi, hakuna msafi hata mmoja "kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu" [Rumi 3:23]. Mtu anayejidai kwamba hana dhambi ni mwongo [Rejea 1Yoh.1:10]. kwa hiyo, kama Dr. Slaa alikwenda HIJA, kwa maana hii, na hatuwezi kumhukumu vinginevyo, alikuwa sahihi kabisa. tatizo watu wanamkosoa hasa kwa malengo ya kisiasa, kujaribu kumshusha hadhi yake mbele ya jamii ambayo imeonesha kwamba inamwamini: zaidi ya asilimia 27 ya watanzania walimpigia kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, pamoja na kampeni nyingi chafu dhidi yake. kama watanzania wengi kiasi hicho wameonesha kuamwamini Dr. Slaa, na kwa kuwa Mungu hamhukumu maana anapenda wanaotubu, wewe ni nani unayemhukumu Dr. Slaa? na Bwana Yesu amesema: "Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi..." [Math. 7:1. Lk. 6:37].

Ole wako! "Ole wenu...wanafiki, kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote. vivyo hivyo nanyi...bali ndani yenu mmejaa unafiki na maasi" [Math.23:27-28]
 
nimefurahi kuona dr kaenda kuhiji kwani hata maandiko yanasema mwenye afya hakumwitaji daktari,waliomwitaji ni walio wagonjwa...sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu...
 
Sitetei uzinzi, lakini najua hata huyo askofu amezini mara nyingi, pili awakemee kwanza waumini wake.
 

[TD="bgcolor: #ffffff"] MAHAKAMA ya wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na mume wa zamani wa Josephine Mushumbusi, Eminiel Mahimbo, baada ya kubaini kuwa haikuwa na msingi wowote kisheria.
Josephine Mushumbuzi kwa sasa ni mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa.


Mahimbo alikata rufaa kupinga hukumu ya mahakama ya mwanzo Sinza ambayo ilivunja ndoa hiyo.


Rufaa hiyo ilifutwa jana na Hakimu Aniseth Wambura ambaye alisema kuwa mahakama hiyo inakubaliana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya mwanzo.
Alisema mahakama inakubaliana na hukumu hiyo iliyotolewa Aprili mwaka jana katika kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Josephine anayetetewa na wakili wa kujitegemea, Philemon Mutakyamilwa.


Katika uamuzi wake huo, mahakama hiyo ilitangaza kuwa hakukuwa na ndoa baina ya watu hao kwa sababu Mahimbo hakuwa mwaminifu katika ndoa yake na alikuwa akimtesa mkewe.


"Baada ya mahakama yangu kusikiliza hoja za mwomba rufaa na mjibu rufaa, mahakama hii imefikia uamuzi wa kukubali hoja za Josephine kwamba kwa tabia ya kutokuwa mwaminifu hapakuwepo na ndoa baina yao, hivyo hukumu ya mahakama ya mwanzo Sinza ilikuwa sahihi," alisema Hakimu Wambura.
Akizungumza na Tanzania Daima jana baada ya kutolewa kwa hukumu hiyo, Wakili Mutakyamilwa alisema amefurahishwa na hukumu hiyo kwani mahakama imetenda haki kwa sababu kesi hiyo ilikuwa na msukumo wa kisiasa uliokuwa na lengo la kumchafulia jina mteja wake, Josephine.

[TD="bgcolor: #ffffff"]
.... tanzania daima...ijumaa, 24 mei 2013...


Josephine Mshumbuzi amshinda mtalaka wake



na Happiness Katabazi

[/TD]
[TD="width: 200, bgcolor: #ffffff, align: center"][/TD]
[/TD]
Mamndenyi
msome vizuri kwa kituo mtumishi wa Mungu mchungaji Mwamkula acha papara hapa tunajadili maandiko matakatifu; slaa anaishi na kimada haya tukubaliane na huo uamuzi wa mahakama je ndoa ilifungwa kanisa gani? Msome mtume Paulo waraka wake kwa Wagalatia na Wakorintho; utaelewa ZINAA ni kitu gani na NDOA ni nini: wewe ni mtoto uliyelelewa kwenye misingi yaani unayakana maneno ya Mungu kwa kumfurahisha binadamu? Hivi kweli ufalme wa Mungu utaona kama utaendelea na mwenendo huu?
 
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom