Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
chama anayejua kuwa ndoa kafunga wapi ni mwenye ndoa, kwani ulitaka apiga parapanda ili kila mtu ajue.
siyo kila asemaye Bwana Bwana ni mtumishi wa Mungu, hata wanaotoa mapepo wasikulazimishe kuwaamini kuwa ni watumishi wa Mungu, hata pepo linaweza kutolewa na pepo lingine pia.
Zinaa ni dhambi kama zilivyo dhambi nyinginezo zozote, zaidi ya zinaa ni kuwa inauchafua mwili wote, lakini neno la msamaha ni kwa ajili na nani?

Ndoa na za hapa hapa tu chama, huko kwa Mungu hakuna ndoa, kumbuka wale wanawake saba waliojing'ang'aniza kwa mwanaume mmoja wakisema watakula vyao na kuvaa vyao, unakumbuka walijibiwa nini?

Ufalme wa Mungu tutaona kwa neema tu chama, si mimi wala wewe, kumbuka mussa alivyosota na wana wa israel mwisho Mungu alimwonyesha kanani na akamwambia nini, najua unaelewa.

Maneno ya Mungu nitayakanaje chama, nimejitia nira yake kwa kuwa mzigo wake ni mwepesi na naendelea kujifunza kutoka kwake.

Mahakama ilitengua ndoa ya yule jamaa kwa kuwa aliitelekeza familia na akawa anazini, na maneno ya Mungu yanasema kwa kosa la kuzini tu ndio laweza kuvunja ndoa, je hilo nalo unalipinga.

Baada ya talaka mwanamke anaweza kuolewa, hata angekuwa mjane kama hajafikia miaka 60 pia neno la Mungu linamruhusu kuolewa.
chama hauna kipimo cha nani atakayeingia mbinguni na ni nani atakayekosa, naamini wewe utakuwa wa kwanza kusotea motoni ha ha haaaa nitakucheka je.

Hivi chama umeshaachana na yule kimada wako (namfahamu) au unamkomalia tu mwenzio. (nimejibu mno daah)
Mamndenyi
kwanza niombe radhi sina kimada mimi ni mwanandoa naheshimu sana ndoa yangu;
Hivi unaposoma Biblia unaisoma kama hadithi au kama maneno ya mwenyezi Mungu? umenishtua sana unaposema ndoa ni hapa hapa duniani soma maandiko matakatifu rejea amri 10 za Mungu; inaonekana unapindisha ukweli kumfurahisha binadamu mwenzako; hakuna ndoa ya siri kanisani ndio maana zinatangazwa ili kama kuna pingamizi liwekwe ndoa ni usafi wa kimwili na kiroho; naamini slaa ni mkatoliki na anafahamu vizuri misingi ya dini na sheria za kanisa; Mamndenyi mimi naomuogopa Mungu; hii amri USIZINI hayakuwa maneno binafsi ya mtume Paulo ni amri ya mwenyezi Mungu na MUNGU NI KUGOPWA! Hata mashoga wanatangaza ndoa zao hadharani itakuwa ya huyu baba yenu?
 
askofu anapotumika kisiasa haya hayakwepeki. pia unaeza funga ndoa na usiwe mwaminifu, then dr slaa alikua safari ni ulaya kwa wiki 3 mbona kazungumzia hiyo ya israel hajazungumzia ya ujerumani nk?????/
Mkuu hiyo habari ya zamani...hapa JF kuna kundi limeibuka kazi yake ni kucopy and paste habari za zamani kwa lengo la kuchafua wengine hasa viongozi wa chadema na wabunge wao.....haishangazi hasa unapoangalia comments zao unajua tu ni kina nani na kwa malengo yapi wanafanya hizo kazi....akili finyu ndio maana nchi haiendelei
 
Mkuu, mapenzi ni upofu, nilikuwa naupinga sana huu msemo, baada ya kumjua Dr Slaa, sasa nimeamini kweli mapenzi ni upofu.
..........Unamjua Dr. Slaa au unamfahamu?. Wewe ni Josephine hadi useme unamjua au aliwahi kukupitia?
 
Ha ha haa shemeji povu linakutoka wewe sio mwanzilishi kuna wenzako unamjua huyu yuko na mzee wa magogoni
rose.JPG
slaa.jpg

huyu padre sijawahi ona! ana phd ya canon law!? amemzalisha rose watoto wawili akiwa padre na katibu mkuu wa baraza la maaskofu! amemuiba mke wa mtu na kumzalisha motto uzeeni!? motto wa nini kwa umro unaokaribia miaka 70!? ujahili mtupu! ovyo sn!
 
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.

Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.

Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.

Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.

Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!

Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.

Chanzo:Africa Leo toleo no 72.

Sihasa za tanzania yataka moyo. Hivi hapa panasera kweli?

AcutePay.com - Earn 1$ Per Referral Link Visit !
 
............Asante kwa kukubali kuwa baba yako Vasco Da Gama ni mzinifu

Unayesema mzinifu ni wewe mimi nimeongea tu kufanya kitu kwa hadhara; huyu babu zinaa yake ipo ya hadhra hata mtoto wa 5 anajua?
 
Mamndenyi
kwanza niombe radhi sina kimada mimi ni mwanandoa naheshimu sana ndoa yangu;
Hivi unaposoma Biblia unaisoma kama hadithi au kama maneno ya mwenyezi Mungu? umenishtua sana unaposema ndoa ni hapa hapa duniani soma maandiko matakatifu rejea amri 10 za Mungu; inaonekana unapindisha ukweli kumfurahisha binadamu mwenzako; hakuna ndoa ya siri kanisani ndio maana zinatangazwa ili kama kuna pingamizi liwekwe ndoa ni usafi wa kimwili na kiroho; naamini slaa ni mkatoliki na anafahamu vizuri misingi ya dini na sheria za kanisa; Mamndenyi mimi naomuogopa Mungu; hii amri USIZINI hayakuwa maneno binafsi ya mtume Paulo ni amri ya mwenyezi Mungu na MUNGU NI KUGOPWA! Hata mashoga wanatangaza ndoa zao hadharani itakuwa ya huyu baba yenu?

Nimesoma majibu yako....kwanza nimegundua wewe sio mkristo na hata kama ni mkristo huijui biblia

Amri ya kutozini sio maneno ya mtume paulo....kasome vizuri uelewe
Pia unahitaji kusoma biblia yote agano la kale na jipya ndio uweze kutoa comments za kueleweka

Pia je ni ndoa zote zinafungwa kanisani?....mbona wako wakristo wanafungia bomani....je ina maana pia una matangazo ya ndoa zote hapa tanzania au shida yako ni dr slaa.....wewe hangaika na maisha yako achana na maisha ya watu wengine.....kama una tatizo kuhusu policies zake na siasa anazoendesha sawa ila personal life is none of your business

Na mwisho huyo anayejiita askofu aliyetoa hiyo habari ni hawa maaskofu uchwara waliojazana tanzania....mtu anaibuka na mistari yake miwili ya biblia anajipachika uchungaji...uaskofu....na usimamizi wa sadaka yeye mwenyewe.....hiyo habari ingetoka kwa askofu wa katoliki au yeyote ndani ya CCT ingekua na uzito maana hao ni maaskofu makini waliosoma na wamewekwa kwa utaratibu maalum unaoeleweka mpaka na serikali yenyewe
 
mmhhhh sasa wewe ni kristo au mpagani? Hapa nanakuu maneno ya slaa mwenyewe "Ni kweli nikirejea na Ndege ya Ethiopian Airlines nikiwa na mama Josephine,tukitokea ujeruman" Baba yenu anamjua Mungu vizuri anayajua mafundisho ndio maana hawezi kutumia neno "MKE" anajua neno mke kwenye dini ya kikristo lina maana gani; msitetea vitu tu kwa minajili ya kumfurahisha binadamu wakati yeye mwenyewe hawezi kusimama mbele ya kadamasi ya watu na kujitetea kwa sababu anafahamu fika dhambi yake.

cc Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
mmhhhh sasa wewe ni kristo au mpagani?

Sina muda wankujibizana na mtu mwenye akili finyu kama wewe

Nimekusaidia kuwa kama unataka kutoa comments kuhusu biblia kaisome uilewe

Kama lengo lako ni kumchafua mtu or to mislead other with wrong facts, endelea tu mkuu.....malipo ni hapa hapa kama sio wewe biblia inatufundisha laana inaweza enda hata generation yako ya tatu
 
kumbuka yeye ameongea kama kiongozi wa kiroho na anapaswa kuongea kweli tupu na ndivyo alivyofanya

Yeye amefunga zipu suruali yake?Si bora huyu anaye huyo mmoja Josephine. lol!
 
Mtabwabwaja sana lakini ukweli utabaki pale pale ya kwamba Dr Slaa ndo chaguo la Mungu kuiongoza Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
[TABLE="width: 426"]
[TR]
[TD="class: xl63, width: 139, bgcolor: transparent"]Mathayo[/TD]
[TD="class: xl63, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl63, width: 28, bgcolor: transparent"]30[/TD]
[TD="class: xl64, width: 373, bgcolor: transparent"]Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
chama siasa na neno la Mungu ni wapi na wapi
soma tu hicho hapo juu hayo mengine ni mbwembwe tu
Mamndenyi
kwanza niombe radhi sina kimada mimi ni mwanandoa naheshimu sana ndoa yangu;
Hivi unaposoma Biblia unaisoma kama hadithi au kama maneno ya mwenyezi Mungu? umenishtua sana unaposema ndoa ni hapa hapa duniani soma maandiko matakatifu rejea amri 10 za Mungu; inaonekana unapindisha ukweli kumfurahisha binadamu mwenzako; hakuna ndoa ya siri kanisani ndio maana zinatangazwa ili kama kuna pingamizi liwekwe ndoa ni usafi wa kimwili na kiroho; naamini slaa ni mkatoliki na anafahamu vizuri misingi ya dini na sheria za kanisa; Mamndenyi mimi naomuogopa Mungu; hii amri USIZINI hayakuwa maneno binafsi ya mtume Paulo ni amri ya mwenyezi Mungu na MUNGU NI KUGOPWA! Hata mashoga wanatangaza ndoa zao hadharani itakuwa ya huyu baba yenu?
 
Last edited by a moderator:
Mwenye haki ya kutoa hukumu kuwa fulani katenda dhambi ni MUNGU pekee na sio mwanadamu.Mwanadamu unapata wapi ujasiri wa kumhukumu mwenzio,Yesu alisema,anayehisi kuwa hajatenda dhambi awe wa kwanza kumrushia jiwe huyu mwanamke,nani alithubutu? Kaeni mbali na ufisadi wenu.
 
[TABLE="width: 426"]
[TR]
[TD="class: xl63, width: 139, bgcolor: transparent"]Mathayo[/TD]
[TD="class: xl63, width: 28, bgcolor: transparent"]22[/TD]
[TD="class: xl63, width: 28, bgcolor: transparent"]30[/TD]
[TD="class: xl64, width: 373, bgcolor: transparent"]Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
chama siasa na neno la Mungu ni wapi na wapi
soma tu hicho hapo juu hayo mengine ni mbwembwe tu

Achana nao Wagumu kuelewa na wepesi kusahau.............

http://AcutePay.com/index.php?refcode=9777
 
Mbona huyo askofu yeye husimama mbele ya madhabahu na kuwawekea mikono watu wakati ni mwizi wa sadaka na mali za waumini kwa mazingaombwe anaowafanyia.
 
Yesu alisema"mbona wakitazama kibanzi ndani ya jicho la mwenzio............" atamalizia mwenyewe huyo Pastor anayetaka umaarufu kupitia dr.slaa
 
Nadhani huyo askofu hafanyi sawa au ana agenda yake ya siri, kwa wadhifa wake wa uaskofu kama alivyojipambanua alishindwa kumwita au kumfata na kumuonya Dr. Kuliko kuandika kwenye magazeti? Halafu huyu askofu anashangaza sana kumbe kwake kwenda Israel ni kuhiji? Au ukienda Israel ndio MUNGU atasikia maombi yako? YESU alisema siku inakuja watu hawataenda huku wala kule bali wamwabuduo halisi watamwabudu kati roho na kweli. Sio kwenda Yerusalem. Sasa napenda kumwambia askofu neno hili Mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake samehe tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom