Kwa kweli hii Tz watu wanakosa weledi na maono nyie wananchi wamezalilishwa hadi wanajifungulia sakafuni kwa sababu tuu ya mafisadi wachache wanaficha hela zetu. Elimu imekufa hospitals mbovu. Watu wanafanya biashara za madawa ya kulevya hadi wengine wanakamatwa China na kupelekea nchi yetu kuwekwa rehani bado hamlioni hilo mnahangaika na maisha ya mtu mmoja. UMEPOTEA
jamani tuache ubishi. hivi dr slaa hazini kweli? au hatujui maana ya uzinifu
Wewe unamshangaa huyo? hivi hujui kwamba Mzee wa Upako naye ni Nabii?Askofu??? Ana uaskofu gani huyoo?askofu mnamju?ukianzisha kanisa leo ukipata kaufadhili tayari unajiita askofu...maskofu wanajulikana bana maaskofu hawaropoki ropoki hovyo.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.
ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
haya ni mambo ya kibinafsi pelekeni bamaga kwa shigongo toa hapa jamvini.
Askofu wa kanisa la pentecost Church Of God Emmanuel Mwamakula.amelaani kitendo cha katibu mkuu wa CHADEMA bwana W.Slaa kwenda kufanya idaba ya hijja nchini israel na mwanamke hajafunga nae ndoa. Slaa aliondoka nchini feb 24 mwaka huu akiwa na mtu aliyemtambulisha kama mchumba wake na ambaye amekiri kuzaa nae mtoto,Josephene Mushumbusi kwa ndege no QR 545 kwa ajiri ya kwenda kutimiza ibada hiyo ambayo yeye anadai ni ya kuliombea taifa.
Akizungumza na gazeti hili Askofu Mwamakula alisema ameshangazwa na kitendo cha Slaa kuwa ujasiri wa kwenda kufanya idaba hiyo takatifu na mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa(hawara). Hiki alichofanya Slaa kinapaswa kukemewa na kulaaniwa vikali,haiwezekani mtu akamchukua mwanamke ambaye hajafunga nae ndoa na kuambatana nae kwenda sehemu takatifu ambako ni mbele za mungu na kufanya ibada,huu ni 'uchafu' uliopitiliza,alisema askofu huyo.
Aliendelea kusema kwamba Slaa alipaswa kwanza kutubu kwa kitendo chake cha kupora mke wa mtu na kuzaa naye wakati anajua wazi kufanya ni kutenda zinaa,kwani kwenye maandiko matakatifu imewekwa wazi kwamba mwanamke au mwanaume anayemuacha mume au mke wake na kwenda kwa mwingine anazini.
Slaa amewahi kuwa padre wa kanisa katoliki anajua maandiko kwamba ndoa ya kikristo inapofungwa,kinachotenganisha ni kifo tuu!lakini kinachoshangaza yeye amepora mke wa mtu na kwenda nae sehemu takatifu bila aibu. Ninasema ni kwamba,Slaa alipaswa kwanza kutubu na kutumia nafasi hiyo kuomba mungu amuepushe na adhabu kali ikizingatia umri wake amesonga sana.
Lakini yeye anaona fahari kufanya matendo ambayo hayaendani na umri wake na kibaya zaidi ni matendo yanayokwenda kinyume na dini yetu.Alisema Askofu huyo kutoka Mbeya. Slaa amekwenda Mbeya kutembea tu,hana usafi wa kutosha kuliombea taifa wakati yeye ndiye alipaswa kuombewa kwanza kutokana na dhambi nzito ya uzinifu inayomkabili!
Hata hivyo,uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa,katika kuficha uhusiano wake huo na mchumba wake huyo(Josephine Mshumbusi) kwenye orodha ya wasafiri ambayo mwandishi wa habari hii ameiona,Slaa akiwa namba 70,mchumba wake huyo amejitambulisha kama mke wa Aminiel Mahimbo na sii mchumba wa Slaa.
Chanzo:Africa Leo toleo no 72.
Hata mi namshangaa sana slaa
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.
ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
unashangaa nini wakati alishamaliza eda?unafiki wenu hauna kifani.
Mkuu una terminology!!By Juliana Shonza
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.
ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
tangu akuakatae unahangaika sana..Go to hell lamaya wee