Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.

Kwanya nikusii tu, si vyema kwa hadhi yako kuja kutukana watu usiowajua humu jukwaani, hata bwana hao Dr Slaa akiwa ana jibu hoja uepuka sana matumizi ya matusi. Jirekebishe.

Jambo lingine, umesema mwenyewe, kwamba 'tusicharge ', iweje wewe na bwana ako Dr Slaa muende Israel mkairoge CCM kwa maana kuwa isisimame tena? huo sio uchawi? Dr Slaa ameshindwa njia za kawaida ameamua atumie uchwai?
 
Baada ya mchumba wa Dr Slaa kukabwa koo kisawa sawa, ameona ni vyema afunguke tu ilhali akupenda kuanika mambo hadharani kuhusu safari aliyoifanya yeye na Dr Slaa.

Safari hiyo ilikuwa na malengo mengi, ila kuu ilikuwa ni kwenda kufanya maombi ili tu CCM iondoke madarakani, kwani Dr Slaa ameona njia zote alizotumia zimeshindwa, sasa ameamua kwenda kupata baraka za taifa teule, uroho huu wa madaraka ni wa kuogopa!!

Haya hapa ndio maelezo ya bibi Josephine ambae ni mchumba wa Dr Slaa yenye siri ya kilicho mpeleka Dr Slaa Israel;

"What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again
."

My take;

Dr Slaa njoo tufanye siasa bwana haya ya kukimbia kimbia kwenda sijui kuombewa mara sijui kufanya ramli si vyema. CCM tupo imara na madhubuti, na kamwe hatuwezi kutetereka kwa maombi yoyote yale yatakayo fanywa dhidi ya CCM ili tu itoke madarakani.
 
Anaenda kumuomba Mungu akiwa na hawara?!

Hiyo PhD yake ya dini imemsaidia kitu gani?!
 
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.
Ha ha haa shemeji povu linakutoka wewe sio mwanzilishi kuna wenzako unamjua huyu yuko na mzee wa magogoni
rose.JPG
slaa.jpg
attachment.php
 
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.

Pole sana! maombi ya wazinifu hayana nguvu mbele ya Mungu!!
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.
hiki ulichokiandika hapa ebu kitafakari na wewe mara mbili, kwa upande wako. asante.
 
chama anayejua kuwa ndoa kafunga wapi ni mwenye ndoa, kwani ulitaka apiga parapanda ili kila mtu ajue.
siyo kila asemaye Bwana Bwana ni mtumishi wa Mungu, hata wanaotoa mapepo wasikulazimishe kuwaamini kuwa ni watumishi wa Mungu, hata pepo linaweza kutolewa na pepo lingine pia.
Zinaa ni dhambi kama zilivyo dhambi nyinginezo zozote, zaidi ya zinaa ni kuwa inauchafua mwili wote, lakini neno la msamaha ni kwa ajili na nani?

Ndoa na za hapa hapa tu chama, huko kwa Mungu hakuna ndoa, kumbuka wale wanawake saba waliojing'ang'aniza kwa mwanaume mmoja wakisema watakula vyao na kuvaa vyao, unakumbuka walijibiwa nini?

Ufalme wa Mungu tutaona kwa neema tu chama, si mimi wala wewe, kumbuka mussa alivyosota na wana wa israel mwisho Mungu alimwonyesha kanani na akamwambia nini, najua unaelewa.

Maneno ya Mungu nitayakanaje chama, nimejitia nira yake kwa kuwa mzigo wake ni mwepesi na naendelea kujifunza kutoka kwake.

Mahakama ilitengua ndoa ya yule jamaa kwa kuwa aliitelekeza familia na akawa anazini, na maneno ya Mungu yanasema kwa kosa la kuzini tu ndio laweza kuvunja ndoa, je hilo nalo unalipinga.

Baada ya talaka mwanamke anaweza kuolewa, hata angekuwa mjane kama hajafikia miaka 60 pia neno la Mungu linamruhusu kuolewa.
chama hauna kipimo cha nani atakayeingia mbinguni na ni nani atakayekosa, naamini wewe utakuwa wa kwanza kusotea motoni ha ha haaaa nitakucheka je.

Hivi chama umeshaachana na yule kimada wako (namfahamu) au unamkomalia tu mwenzio. (nimejibu mno daah)

Mamndenyi
msome vizuri kwa kituo mtumishi wa Mungu mchungaji Mwamkula acha papara hapa tunajadili maandiko matakatifu; slaa anaishi na kimada haya tukubaliane na huo uamuzi wa mahakama je ndoa ilifungwa kanisa gani? Msome mtume Paulo waraka wake kwa Wagalatia na Wakorintho; utaelewa ZINAA ni kitu gani na NDOA ni nini: wewe ni mtoto uliyelelewa kwenye misingi yaani unayakana maneno ya Mungu kwa kumfurahisha binadamu? Hivi kweli ufalme wa Mungu utaona kama utaendelea na mwenendo huu?
 
Last edited by a moderator:
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

Acha ujinga m...a...l.....a...y.....a wewe....ulishasikia wapi padre anakemea mapepo au ni chuki zako za kufukuzwa chadema? Acha up...u...u..zi wako rudi tena hapa new habari utupe umbea tuandike tena kwenye magazeti
 
Ha ha ha leo nimeona bora nikucheke tu HAMY-D hivi huwa unalipwa bei gani? Kati ya doctor na mkulu hivi nani huwa anaruka sana?na mwisho kabisa mbona unamuonea sana wivu Josephine nakuona umeandika thread nyingi sana ili kumchafua tu sasa swali je ulikuwa unataka dr wetu akuowe wewe ndo roho yako itulie uache kuimba taarabu humu JF?mbona personal issues za viongozi wenu watu hawazianikagi humu We always talk about their polics not personal or private issues

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
What!mmmm who is that fake pst.

Kipofu asiyeona wala kusikia.
Aanze kujihukumu mwenyewe kabla hajahukumu wengine.

Enyi wajinga na wafinyu wa akili ni nani mwenye jeuri ys kumnyooshea mwenzake kidole kuwa yu mdhambi.
Hamjui hata kumuwaxia mwenzio mabaya ni dhambi.

Let me tell you,mtaendelea kushika bango hilo na mwisho Mungu atawahukumu ninyi.
Wapumbavu ni watu wasiotumia hata chembe ya akili kufikiri.nani aliwaambia ndoa lazima ifungwr kanisani.

Tena sasa nawapa siri.safari ya Israel maombi yalioyofanyika huko CCM will never be the same.
Never it will stand again.[/Q
muongope Mungu. acha ushabiki wa kisiasa na kutukuza siasa hadi ukamsahau Mungu wako. slaa alitenda kosa. atubu. kumtetea ni kumdharau Mungu na kumpiga vita. shauri yako
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

mbona unawivu hivo mnaanzisha thread then mnajipanga ku comment,kwani uliahidiwa ndoa ?halafu angalia u nothing in politics unatumiwa kama toilet paper and then eliminated ,hata huo ubunge wa viti maalumu ulioahidiwa na mwigulu Nchemba hutapata katiba imekupiga kabpuni so imekula kwako
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.

ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

..........Mbona hueleweki au ndo laana ya kupigwa chini Chadema?. Yaani unaropoka ropoka na kutapika tapika utumbo hadi unatia kinyaa au una ujauzi.. wa Nchemba?
 
Njiwa,
Mkajifunze kwanza Theology. Ndio maana mnaongea maombo msiyojua. Mtapiga kelele na mwisho wa yote mtaishiwa. Kumbukeni waliopandishwa kwenye msalaba pamoja na Yesu na matokeo yake. Heading kubwa ndani hakuna kitu, propaganda tu. Siri ipi sasa iliyofunguka? Kinachoitwa siri ni

nini katika hija? Huyo anayedhaniwa ameongea na Mungu wangu aweke hadharani aliyoambiwa na Mungu maana siri ya hija aijua Mungu tu! Unless mna Mungu wenu anayefanya kazi kwa maagizo yenu. Huyu siyo Mungu ninayemwamini.

Hata mi namshangaa sana slaa
 
askofu anapotumika kisiasa haya hayakwepeki. pia unaeza funga ndoa na usiwe mwaminifu, then dr slaa alikua safari ni ulaya kwa wiki 3 mbona kazungumzia hiyo ya israel hajazungumzia ya ujerumani nk?????/
 
Wachungaji wapo wengi kama akina Mtikila sasa sijui wanachunga wanyama gani? hao wachungaji matapeli
 
Huyo askofu uchwara huo muda si angetumia kuwalaani mafisadi wanahujumu maisha ya watanzania usiku na mchana,
kama anatafuta umaarufu itakula kwake
 
chama anayejua kuwa ndoa kafunga wapi ni mwenye ndoa, kwani ulitaka apiga parapanda ili kila mtu ajue.
siyo kila asemaye Bwana Bwana ni mtumishi wa Mungu, hata wanaotoa mapepo wasikulazimishe kuwaamini kuwa ni watumishi wa Mungu, hata pepo linaweza kutolewa na pepo lingine pia.
Zinaa ni dhambi kama zilivyo dhambi nyinginezo zozote, zaidi ya zinaa ni kuwa inauchafua mwili wote, lakini neno la msamaha ni kwa ajili na nani?

Ndoa na za hapa hapa tu chama, huko kwa Mungu hakuna ndoa, kumbuka wale wanawake saba waliojing'ang'aniza kwa mwanaume mmoja wakisema watakula vyao na kuvaa vyao, unakumbuka walijibiwa nini?

Ufalme wa Mungu tutaona kwa neema tu chama, si mimi wala wewe, kumbuka mussa alivyosota na wana wa israel mwisho Mungu alimwonyesha kanani na akamwambia nini, najua unaelewa.

Maneno ya Mungu nitayakanaje chama, nimejitia nira yake kwa kuwa mzigo wake ni mwepesi na naendelea kujifunza kutoka kwake.

Mahakama ilitengua ndoa ya yule jamaa kwa kuwa aliitelekeza familia na akawa anazini, na maneno ya Mungu yanasema kwa kosa la kuzini tu ndio laweza kuvunja ndoa, je hilo nalo unalipinga.

Baada ya talaka mwanamke anaweza kuolewa, hata angekuwa mjane kama hajafikia miaka 60 pia neno la Mungu linamruhusu kuolewa.
chama hauna kipimo cha nani atakayeingia mbinguni na ni nani atakayekosa, naamini wewe utakuwa wa kwanza kusotea motoni ha ha haaaa nitakucheka je.

Hivi chama umeshaachana na yule kimada wako (namfahamu) au unamkomalia tu mwenzio. (nimejibu mno daah)
Tena mkumbushe kwa sheria za jamhuri ya muungano tanzaniA mwenye kibali cha kufungisha ndoa ni serikali tu wengine wote ni mawakala iwe kanisa...msikiti....bomani...kote utapewa cheti cha serikali na ndio kinachotambulika.kisheria
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom