AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Mimi si mnafiki kama wengine humu.
Kwa mfano umeshatoa mchango gani kwenye jukwaa la siasa? Kumbuka lile ndo jukwaa ambalo linaheshimika mno. Sasa iweje shindano linahusu jf yote halaf libandikwe mmu?
Upuuzi mtupu wa kubebana na kupeana sifa zisizostahili kwa madhumuni ya kuopoa humu.
Nasisitiza, wewe na mwenzio hamkustahili kushinda tuzo hii kwa title iliyopo unless kama title inachange.
Hizo ndo pongezi zangu kwenu!

Mitishamba Mkuu, inawezekana uko sahihi na mawazo yako kwa mtazamo wako, lakini kwa mawazo yangu mimi ni kuwa majukwaa yote yana watu wao, na kwa wao "hayo ndiyo majukwaa yanayoheshimika zaidi kwao". Kuna watu wa "Siasa" si rahisi kuwakuta "MMU" na wale wa "Mambo ya Wakubwa" huwaoni kwenye "Michezo"; na huu ndio uzuri wa JF, na ndio maana mwanzo kulibandikwa shindano kwnye kila jukwaa.

Ama kuhusu hii post kuwekwa MMU, hilo ni la kulijadili na kulipendekeza badala ya kulaumu tu. Hakuna kitu rahisi kama kulaumu kwani mtu anaweza kufanya hivyo bila ya hata kujikuna kichwa. Kwa hiyo kama changamoto ili kuboresha mchakato mzima, unafikiri tangazo la mashindano ya WoY na MoY liwekwe jukwaa gani? Muda gani utumike baina ya kuweka tangazo hadi kumalizika muda wa mapendekezo? Utaratibu gani utumike katika kuwapata wagombea na nani waingie fainali? Tujadili na kuchangia hayo
Pamoja Saana [AshaDii]
 
hahahahahahhhaaaa kimeeyyyyy....!

halooooooooooo ooohhhhh!...wanasema wenyewe "mwanamke hasingiziwi mimba babu weeeee...."

mwakani mimi kimey na huyu jamaa sijui wiser..
Hahahahaha
 
hahahahahahhhaaaa kimeeyyyyy....!

halooooooooooo ooohhhhh!...wanasema wenyewe "mwanamke hasingiziwi mimba babu weeeee...."

mwakani mimi kimey na huyu jamaa sijui wiser..
Bila shaka utakuwa umekesha Koyanga bar na Rusha roho ndio maana unaona kama wote hapa ni waimbaji wa Mzee Yusuph.
 
Mimi si mnafiki kama wengine humu.

Mtu ambae sio mnafiki ndie mzuri katika jamii hasa katika hali yetu mbaya ya nchi yetu hii.... Hivo nakushuru tena. Well Una hasira saana inaonesha Mitishamba. Punguza Hasira kaka.... (hoping you are)

Kwa mfano umeshatoa mchango gani kwenye jukwaa la siasa?

Kwenye Jukwaa la siasa watu ambao ni wadau kweli wa Siasa na wameiva ipasavo ni wachache ukilinganisha na wale ambao wana post Upup.u katika like Jukwa.... wapost kitu cha Msingi watu wame kalili hoja na kupost hoja ambazo wame kalili (Mdau mmja kwa Jina la Mkandara katika lile Jukwaa huziita READY MADE POLITICS); Hio ndio hunichosha pale Mitishamba.... Watu kufika na kenda pale kwa Mkumbo. Hata hivo sikati tamaa once in a while na post thou Kila siku nafuatilia habari bila kupost kitu pale.... Mchango yangu pale ipo na Labda nikupe Links ya Threads zangu za Siasa. Na sababu sio mnafiki nategemea utanipa feedbak....

LINK

LINK

LINK

Kumbuka lile ndo jukwaa ambalo linaheshimika mno. Na hapa sizungumzii michango ya aina ya "naunga mkono hoja". Lakini kitu kingine, kuweka hili shindano huku mmu ni kuwavutia watu wa mmu ndo wawe wapiga kura zaidi wakati shindano linahusu jf yote. Kumbuka kuna watu wanatembelea majukwaa mengine na huwa hawapiti kabisa/wanapita mara chache sana huku mmu. Sasa iweje shindano linahusu jf yote halaf libandikwe mmu? Bila shaka ni mpango madhubuti kuhakikisha kuwa mtu wa huku anashinda.

Nakubali kuna Mapungufu katika zoezi zima.... Ila kumbuka hizo jitihada sio za JF, Ni za Member wa JF (Superman) Kwa kujitolea as a way of Fun na kupeana moyo... WHY IMEWEKWA MMU?? Kwangu mimi MMU Members are the BEST katika Ushirikiano Jamvini.... They care... they devote there speacial time... Wanasiasa walo wengi JF wanadhani kua wao ndio boraaaa kuliko Members woooote! Wanadhani ndio wapo Intelligente Kuliko members wooooote, Wanadhani kua wao ndio wana topics za muhimu kuliko Forums zooooote hapa JF... Wanasahau kua pamoja na hayo HAKUNA Ambaye mambo ya MMU yanamzunguka kila dakika, kila siku na kila saa.... Tatazo la Nyumba ndogo kua Viti maalum, Tatizo la wake wa wakubwa na watoto kua na Malimbikizi ya Mali, Tatizo la kumia pesa vibaya na kutaka waongezwe posho... YOOOOTE HAYO NI MMU Related na SIO POLITICS....

Hivi mtu kama asipirini ana mchango gani kwenye majukwaa mengine?
Hata akiwa jukwaa la siasa bado anaweka posti za ki-mmu tu, halafu leo ndo useme jf man of the year?
Upuuzi mtupu wa kubebana na kupeana sifa zisizostahili kwa madhumuni ya kuopoa humu.

ODM aka..... Asprin ni Shemeji yangu... We are in the same Family, I come from that Family. Kama niliyoongea katika hii post umenielewa. then utaelewa kua he deserves too... For the simple reason kachaguliwa na kashinda. Wangekuja wanasiasa kupiga kura wachague alie bora, maybe walikuja, maybe hawakuja, we will never know but wao ndio wameruhsu ushindi wake... Wanastahili waheshimu hilo....

Dah! ngoja nikanywe maji.... Mitishamba karibu saana kwangu dear, we can discuss it further...


Nasisitiza, wewe na mwenzio hamkustahili kushinda tuzo hii kwa title iliyopo unless kama title inachange.

Nakubaliana na mawazo yako, ila umechelewa dear, iliakiwa upige campaign kabla ya matokeo. Saizi it is too late.

Hizo ndo pongezi zangu kwenu!

On behalf of my Family... With Love napokea pongezi zako.... THANK U.


Please note that my answers are in blue...
 
Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.

Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe
 
Women are mothers of the world,whenever you want to say a certain country is developed you must check out the position of the woman in the society.
 
Hongera rafiki ADii umestahili nitakusindikiza kuchukua zawadiiiiii

I knew it.............matokeo yamenifurahisha unastahili huu u role model!

Pongezi zangu na familia yangu!

Hongera Mama You deserve. Tunakukubali.

Kumbe Ashadii ni "Dr"? Umegoma au wewe ni "Dr in charge"?

ADii
Hongera kwa kuwakilisha vema. Unastahili tuzo kwa michango yako iliyokamilika kila idara.Ningekuwa na mamlaka basi ningekutunukia taji kila jukwaa unalochangia. Nakutakia IWD njema.

Kudoz AshaDii..! You're simply the best!!!



I am humbled Dears..... Really Humbled na napokea pongezi with Love. THANK U.
 
Hongera sana

Asante dear...

Kuna watu wamebalikiwa kuoa wanawake very intelligent,....... hongera zake aliyebahatika kukumiliki.

Humbled.... Bahati mbaya yeye sio rahisi kuona hilo kama ilivo ngumu kuona the extra katika wako... Sijui kwa nini maybe it is nature....

Kwa wale wanaopinga matokeo, wanaombwa wasivunjike moyo, kutakuwa na uchaguzi mdogo jukwaa la love connect wiki ijayo wanaweza wakachukua fomu za kugombea na kujarib zali.

Asanteni sana
International observer wa JEC
Zimbabwe

Lmao.... :lol:
 
Umeanzia mbali sana na naona unazidi kuelekea ulikodhamiria.


Mitishamba tulianza vizuri saana, Kwa kueleweshana.... Yaani am so Dissapointed kua umeruka post yangu na kuona ni muhimu umjibu JB Hali nimetumia energy yooote ile.... Alafu it is our day Ujue? C'mon changia to make me proud to be a woman!
 
Bado safari ni ndefu sana. Inahitajika sana elimu kwa jamii waelewe nafasi ya mwanamke katika maendeleo ya jamii.
 
Back
Top Bottom