MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,607
Habari wana JF…what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu…. kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.
Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives
Narudia…. ASANTENI SAAANA.
With Love
Pamoja Saana
AshaDii.
HONGERA SANA DADA!
HONGERA SANA MMU WoY! Umeshinda kwa sababu umestahiki zaidi. Ninachukua fursa hii kumpongeza pia Dada Faiza Foxy kwa kuteuliwa na wana JF kushiriki katika shindalo hili. Both of you are really Great Women - HONGERENI.

Pamoja Saaana!