AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

Matola na Afrodenzi kwa pamoja wanaangalia namna nzuri ya kumpongeza AshaDii, kwa niaba yao nakaribisha maoni yenu.

Hapo ndipo unagundua ubaya wa kuwa kifungoni, mambo matamu kama haya yanawapita hawa wadau muhimu.

I personally admire the man himself Matola and I like the lady AD, Sijui wanamaliza lini kifungo.
 
Hapo ndipo unagundua ubaya wa kuwa kifungoni, mambo matamu kama haya yanawapita hawa wadau muhimu.

I personally admire the man himself Matola and I like the lady AD, Sijui wanamaliza lini kifungo.
Kesho utawaona hawa wadau hpa hapa JF, nimemaliza kikao cha kuwapatanisha hivi punde tu hawa wadau!!
 
We endelea kumrushia mistari tu halaf uone kama utafanikiwa....wenzako wengine washalizwa mahela kibao humu na mambo hayakwenda kama walivyokuwa wanaota.
Mimi sio mbuzi ambaye anaweza kungonoka hata na mama yake mzazi, if i call some one a sister, that status will remain there, na ukumbuke AshaDii ni a Marriage woman na hayuko hapa kutafuta Mwanaume. Pls respect others.
 
We endelea kumrushia mistari tu halaf uone kama utafanikiwa....wenzako wengine washalizwa mahela kibao humu na mambo hayakwenda kama walivyokuwa wanaota.

Mitishamba what is wrong?? Isije ikawa na wewe ni moja ya wale nimekula pesa zao ila ID nyingine.... Nisamehe ndugu yangu... Ilikua shilingi ngapi nirudishe?
 
AshaDii,

The WoY 2011, you deserved the trophy.

Aama kwa hakika umeonyesha kwamba wanawake wanaweza hata bila kuwezeshwa.

Pamoja sana mamaa, nategemea kuona busara yako 2012 ili hata wale ambao in one way or another hatujaridhika, tukiri kwamba ulistahili heshima hiyo..

I will try my very BEST Manyara... Worry Not Dear.... Again ASANTE.
 
Hongera Bibie! Zawadi yako nitakupa tukiwa FARAGHANI.... Sijakata tamaa..

hahaha.... Dreamliner sitaki kuamini you have yet to find your dream woman!! Alafu nikikukaribisha home chakula hutaki, then wapoteeeeea. Nimefurahi kukuona dear... na THANK U For your acknowledgment.....
 
Mitishamba what is wrong?? Isije ikawa na wewe ni moja ya wale nimekula pesa zao ila ID nyingine.... Nisamehe ndugu yangu... Ilikua shilingi ngapi nirudishe?
Sikumaanisha wewe.
hukumbuki kuna mtu humu alikuja kulalamika wakati fulani kuwa kuna mtu (mwanamke) amemtapeli pesa zake 200,000/- alimtumia kwa mpesa ili wakutane.....pesa zikaondoka bila mafanikio.
 
Haya sasa ngoja niseme hivi:
Happy women's day Ashadii...am proud of you and all women!
Take care!
 
Sikumaanisha wewe.
hukumbuki kuna mtu humu alikuja kulalamika wakati fulani kuwa kuna mtu (mwanamke) amemtapeli pesa zake 200,000/- alimtumia kwa mpesa ili wakutane.....pesa zikaondoka bila mafanikio.
Wenzako wenye upeo mzuri wa mambo huwa wanaweka na link ya hiyo habari unayoisema, hivi unataka kutuaminisha kwamba AshaDii anasoma thread zote za majukwaa yote hapa JF? huu ni upofu wa uelewa.
 
Wenzako wenye upeo mzuri wa mambo huwa wanaweka na link ya hiyo habari unayoisema, hivi unataka kutuaminisha kwamba AshaDii anasoma thread zote za majukwaa yote hapa JF? huu ni upofu wa uelewa.
Jitahidi bado kidogo utafanikiwa.............................................................................................................................................................<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<
 
Kiukweli nilikuwa msomaji tu wa jamii forum,na niliposikia kuhusu hili shindano moyoni mwangu nilisema my woman of the year ni ASHADII atakama wasipompa,na leo nilipoona matokeo nikasema laazima ni join na kumpongeza
UNAJUA KWA NINI:
She is a woman of wisdom and good character,marazote anakuwa na mawazo ya kujenga na anapotoa wazo lake yeye anakupa nafasi ya wewe ufikirie upande mwingine wa story yaan ustoe conclusion mapema,her ability ya kuwa flexible katika kila eneo it means she can be gudwoman akiwa jikon,kuchangia mawazo ya familia na anajua duties za mwanamke chumban(bed) hiv vyote unaweza kuviona kupitia michango yake,mara zote nikimsoma ASHADII na kumbuka haka kamsemo:
A BEAUTY BODY is not enough to QUALIFY a GIRL to be a WIFE..but a BEAUTY MIND-BEAUTY CHARACTER does!
She always ananitia moyo kwamba bado kuna wanawake wenye potential kwenye maeneo mengi tu,i have dream ya kuwa na mwanamke mwenye mindset kama ya Ashadii nikafunge nae ndoa ya halali kanisan

Nimeishiwa Maneno.... I just wish uone the way I feel as a result of this post.... It has humbled me, has Inspired me, has rejuvinated me to some extent in ways huwezi jua... Naamini saaana kua maneno ni dawa.. yaweza kuponya, kukudhohofisha na hata kukuua kabisa. Kwamba umeweza jiunga uweze nifikishia tu huu Ujumbe... I am humbly HUMBLED... Na it has been on the Perfect day of Woman's day. NAKUSHUKURU SAANA. Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema akubariki... Akujaalie uweze pata Mwanamke alo bora wa kufika nae Kanisani na AWABARIKI Iwe moja ya Familia bora katika jamii katika kila nyanja ya Msingi ya Familia.

Karibu saaana JF, You need assistance I will always be there if it is within my power nitajitahidi.

Pamoja saana with DEEP Appreciation. THANK U.

AshaDii.
 
Soma vizuri posti yangu, usijishebedue tu.

Kuna nafasi pale kwenye Jahazi la Mzee Yusuf wanahitaji waimbaji wa kunogesha mipasho,....

Ikiwa leo ni siku yetu wanawake ya kujidaia....
Ikiwa mimi ni Mwanamke ambae nimewakubali woote kwa michango yenu thou mwatofautiana...
Ikiwa ni kwamba mimi nimeweza wasiliana nanyi woote kwa AMANI... Naamini na nyie mwaweza
Nikiwa kama "JF Woman of the Year" hapa JF.... NAWAOMBA...

NITASHUKURU Saaana kama Mtaweza niheshimu kwa kukubalian na Kauli yangu kua Mjadala wenu uishie hapa na Kwa AMANI. Nawaomba saana. Sioni kama kuna la ziada zaidi katika manalojadili. Narudipa Please acheni hizo.

Pamoja Saana With Love.

You are a good mediator....
Kwa heshima yako mi nafunga mjadala.
Naenda lunch sasa...karibu lunch.
 
hahaha.... Dreamliner sitaki kuamini you have yet to find your dream woman!! Alafu nikikukaribisha home chakula hutaki, then wapoteeeeea. Nimefurahi kukuona dear... na THANK U For your acknowledgment.....

Nikaribishe leo Mwaya... Kibarua ndio kinafanya nipotee... Babu Asprin hajambo?
 
Haya sasa ngoja niseme hivi:
Happy women's day Ashadii...am proud of you and all women!
Take care!

You are a good mediator....
Kwa heshima yako mi nafunga mjadala.
Naenda lunch sasa...karibu lunch.

Mitishamba nikupe Siri?? Hivi ulivo niingia kwa kuni Criticise ndio jinsi tulivokua na Member mmoja kwa Jina la Matola hata na huyu JB.... Tulitoka mbali lakini hatimae we are good Friends... Sababu as much as tuna views mbali mbali siku moja tulijadili na kubishana kwa kutumia Hoja kama ilivo kua mimi na wewe Leo... AND it was worth it.

Nafurahi for I know unaweza ukawa bado hujaridhia kua ni "JF Woman of the year" BUT atleast siku nyingine mimi na wewe tutawasiliana kwa Amani na kuweka tofauti zetu pembeni.... na tutawa good friends hapa Jamvini.... Na hio tayari ni dhahiri, For ni Marafiki/ndugu/jamaa na the ones we love ambao huwa twawakaribisha Chakula hasa Lunch na Dinner.... Asante kwa kunikaribisha.... Nikiangalia katika hilo Kundi I am proud to have made a friend out of you.... THANK U.

Pamoa saana Mitishamba.... Enjoy your Lunch dear....
 
Back
Top Bottom