si uandike tu kiswahili........
I hope ulizingatia wale wanaume 3 niliokutajia. Manake staki kurudi rumande.
Mshaanza vikao vya harusi, usimnyime Kongosho tenda ya kupika ubeche.
Wengine ni baba zako humu;
Hembu mtaje kwanza ili nikupe hongera.
neno la zamani sana hili,He he he, anaweza kudhani ka-shortlist kumbe yeye ndio ka-shortlist-iwa.
Ila kama kweli, asininyime tenda ya ubeche
Haa tayari?? Jana tu?? Mm ndio nilikuwa najipanga ati!! Duh, hii kali!
Ndio ushachelewa hivyo!!!
Hongera da debora na mwenza wako na kila la kheri huko mnakoelekea.
mgaagaa na upwa,hali wali mkavu,
na atafutaye hachoki,ngoja ngoja huu miza matumbo,
watu wapo siriaz
da debora hebu tiririka "how where funny to meet with your mwenza for a first time plz tiririka step by step but pls hide its <user name>if its posible
Kweli ngoja ngoja yangu imeniumiza tumbo!
Lkn ngoja nisubiri wangu mambo ya ligi mm siyataki tena!
hapana jamani mie nipo jf 4va
Na mimi nitakuunga mkono!kweli mdau,bnafs nahangaika kumsaka wangu,nimeamua niende tandale nikanunu t-shirt nyeupe kisha niandike tangazo la kusaka mchumba,halaf nisimame vituo vya daladala vya moroko-airtel,mwenge,posta na kinondon studio,huenda nikamnyakua wangu,nimechoka kulala peke yangu,
kweli kiingereza lugha ya watu ilikuja na meli:tape: