Hata sikusoma...mim naona tu anashukuru
Ulisoma hitaji la thread yake ya mwanzo?
Naomba link nikadese,nataka nitafute mwenza nami
Naomba link nikadese,nataka nitafute mwenza nami
Naomba link nikadese,nataka nitafute mwenza nami
Naomba link nikadese,nataka nitafute mwenza nami
Kabla hujaweka tangazo naomba uanze na mimi. Plz nitakuluv kwa chemba zangu zote za moyo!
Jestina kashakuwekea hapo juu mpendwa...
Nimeiona best,thanks.
Kesho nitaanza ku edit ....lol....
Hahaha usisahau kuweka Masters yako kwenye tangazo...inalipa sana ujue
Hilo nitazingatia,inawezekana ilikuwa catalyst hapa ndio maana faster bidada kaleta feedback kuwa kimeeleweka!
Hapana chezea Masters,ina speed up kila kitu.
Si utanisaidia kufunga na kuomba best?
Jana alikuwa anatafuta mchumba, leo kampata na shukrani juu...