Nimepata kazi ninamshukuru Mungu na wana jf

Nimepata kazi ninamshukuru Mungu na wana jf

Man tofa

Member
Joined
Oct 7, 2014
Posts
60
Reaction score
8
Nitakuwa mnyimi wa fadhira kutokumshukuru Mungu na wanajamii forum.
Ambao hamjapata kaz kweli wakat ukifika Mungu anatenda nany pia msikate tamaa. Binafsi nilimaliza chuo level ya degree mwaka 2011 mpaka leo nilvoandka nimepata kaz kupitia secretariat ya ajira du Mungu acha aitwe Mungu.
Nilipitia magumu mengine hayaelezek kwa yote yaliyonitokea nilimwachia Mungu na nilisamehe na nimeshasamehe tenda wema nenda zako usingoje shukuran

ANGALIZO AU USHAURI
ndungu ambao tumepata na walio na kaz tujue kuwa kupata kaz ni kaz ngumu sana hvo tuwavumilie sana wale wanaotafuta kaz tusiwanyanyase na kuwanyanyapaa eti kisa hawana kaz na kuwasingizia mambo meng ni tabia mbaya sana hata watoto wenu yatawakuta.
ahsanten wadau msikate tamaa mzidi kumwomba Mungu hakika anajbu maombi hata kama uko katk wakat mgumu piga moyo konde
 
Hongera kwa kupata kazi, je unaahidi kuitumikia kazi yako kwa moyo wako wote bila kusahau kuwa umeipata kwa shida? Maana hilo hujalizungumzia kabisa.

CHEZEA MSHAHARA USICHEZEE KAZI

Ingawa sidhani kama inawezekana kuchezea mshahara bila kuathiri kazi
 
kweli mkuu Mungu ndo wa kushukuliwa kwa neema zake.
 
AMEN Glory be to GOD...hongera mkuu sasa nenda kachape kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom