Asanteni wana jamii kwani nimepata rafiki

Asanteni wana jamii kwani nimepata rafiki

Napenda sana kumshukuru Mungu na wanajamii kwa mchango wenu,japo kuna wengine walinikejeli,kunitania na wenye wema na mimi walinitia moyo,na wengi walijitokeza kuni pm na pia email,nawashukuru sana,mtakuwa marafiki zangu wa kawaida maana nimempata mmoja humuhumu,jamani msikate tamaa mnaoomba na kutafuta mume au mke mtapata,nawatakia kila la heri.ASANTENI SANA KWA WALE MLIOSHIRIKIANA NAMI.MUNGU AWABARIKI,AMEN


Da debora mbona ni muda mfupi kufanya maamuzi mazito kama hayo..kuwa muangalifu usiliwe ukaacha na lengo lako la kufunga Ndoa mwakani likaishia hapo..nakushauri kwa umri wako bado hujakaataa tama pia usijiachie sana kwa huyo uliyempata kwa kuwa kuna mengi yakujiuliza na kujifunza pande zote mbili kabla ya kila mmoja kujiachia...
Otherwise nakutakia kila la kheri na hakika mungu awe mwongozo wako katika mahusiano mapya yenye malengo yaliyowazi(NDOA) tena mwakani mapema..(SMART) objective.
 
Hongera sana kwa kufanikiwa! Umefanya vizuri pia kuwashukuru wana jamvi! Mwanzo mewema na wenye mafanikio!
 
juzi tu mvua ilinyesha mno sisi huwa tunasema wacha mvua inyeshe tuheshimiane. sasa sijui ndiyo matunda ya mvua au vipi, lakini yote na yote hongera saana
 
Hongera kwa kumpata wako msigegene mpaka mpime na kukubaliwa na wazazi
 
Hongera kwa kumpata wako msigegene keep on kuheshimiana tu
 
Huyu aliandika anahitaji MUME ina maana ndani ya wiki kampata MUME?Huyu atagegedwa tu nahisi maana ana haraka sana bana!

Mimi mwenyewe nina wasiwasi naye . apunguze papara bana
 
Huyu aliandika anahitaji MUME ina maana ndani ya wiki kampata MUME?Huyu atagegedwa tu nahisi maana ana haraka sana bana!

Duh kama ndo hvyo inabidi awe makini na huyo mchumba anajua mdada anataka ndoa basi anaweza kutumia bafasi hyo akamuumiza mdada wa watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom