K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,397 Reaction score 5,029 Feb 4, 2014 #81 Nakumbuka kuna thread hata jana ilichangiwa kwa kibwagizo "vuta kamba". Debora Debora! Usijewekwa kimada
Nakumbuka kuna thread hata jana ilichangiwa kwa kibwagizo "vuta kamba". Debora Debora! Usijewekwa kimada
C celincolyn JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 243 Reaction score 43 Feb 4, 2014 #82 Duh! Nimeipenda hii. Saint Kayumba noma jamani.
C celincolyn JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 243 Reaction score 43 Feb 4, 2014 #83 Jamani amesema kapata rafiki tu hivyo nafikiri wataendelea kuchunguzana wenyewe pindi wakikubaliana atakuja kutuambia. Vuteni subira wapendwa.
Jamani amesema kapata rafiki tu hivyo nafikiri wataendelea kuchunguzana wenyewe pindi wakikubaliana atakuja kutuambia. Vuteni subira wapendwa.
cren Senior Member Joined Sep 24, 2013 Posts 199 Reaction score 21 Feb 4, 2014 #84 sawa na kuoa home sindio eeeeeh au stayle nyingine....
cren Senior Member Joined Sep 24, 2013 Posts 199 Reaction score 21 Feb 4, 2014 #85 sawa na kuoa home sindio eeeeeh au stayle nyingine....
ram Platinum Member Joined Oct 5, 2007 Posts 9,378 Reaction score 8,624 Feb 4, 2014 #86 Huwa nakuaminia, hebu itupie hapa hiyo thread yake ya mwanzo watu8 said: Ulisoma hitaji la thread yake ya mwanzo? Click to expand...
Huwa nakuaminia, hebu itupie hapa hiyo thread yake ya mwanzo watu8 said: Ulisoma hitaji la thread yake ya mwanzo? Click to expand...
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 30,108 Reaction score 41,775 Feb 4, 2014 #87 watu8 said: Jana alikuwa anatafuta mchumba, leo kampata na shukrani juu... Click to expand... Hahahaa haaaa inawezekana jamani amesema amepata rafiki
watu8 said: Jana alikuwa anatafuta mchumba, leo kampata na shukrani juu... Click to expand... Hahahaa haaaa inawezekana jamani amesema amepata rafiki
M mwenda kiborah Member Joined Jan 8, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Feb 4, 2014 #88 Hongera sana da deborah
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,801 Reaction score 110,022 Feb 4, 2014 #89 ram said: Huwa nakuaminia, hebu itupie hapa hiyo thread yake ya mwanzo Click to expand... Hii ndio thread yake ya mwanzo na aliiweka siku moja kabla ya kuiweka hii...(hii ya kushukuru kaiweka tar 17, ile ya kutafuta mchumba kaiweka tar 16). https://www.jamiiforums.com/mahusia...-atakuwa-mchumba-na-hatimae-niolewe-naye.html
ram said: Huwa nakuaminia, hebu itupie hapa hiyo thread yake ya mwanzo Click to expand... Hii ndio thread yake ya mwanzo na aliiweka siku moja kabla ya kuiweka hii...(hii ya kushukuru kaiweka tar 17, ile ya kutafuta mchumba kaiweka tar 16). https://www.jamiiforums.com/mahusia...-atakuwa-mchumba-na-hatimae-niolewe-naye.html
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,801 Reaction score 110,022 Feb 4, 2014 #90 christine ibrahim said: Hahahaa haaaa inawezekana jamani amesema amepata rafiki Click to expand... Lakini (ma)tangazo la awali lilikuwa ni kwa ajili ya kutafuta mchumba... ​https://www.jamiiforums.com/mahusia...-atakuwa-mchumba-na-hatimae-niolewe-naye.html
christine ibrahim said: Hahahaa haaaa inawezekana jamani amesema amepata rafiki Click to expand... Lakini (ma)tangazo la awali lilikuwa ni kwa ajili ya kutafuta mchumba... ​https://www.jamiiforums.com/mahusia...-atakuwa-mchumba-na-hatimae-niolewe-naye.html
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,801 Reaction score 110,022 Feb 4, 2014 #91 Sijui watakuwa wameenda hanimuni maana bi dada kapotea...
S sindani Member Joined Sep 13, 2013 Posts 89 Reaction score 71 Feb 4, 2014 #92 Hongera! Siku si nyingi na mimi nitatangaza nia kwakweli!!!