Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Mimi naona huyu ni mwendawazimu nilivyokuwa namuona anapambania mkataba wa dpw upitishwe nilizani ni mtu wa mana ni jambo la kushangaza tajiri wa dpw anatafuta gest ya 7000 badala ya kufikia hotelini
Hahaha..............dogo itakuwa anafanya kazi ya kulipwa elfu 7 kwa siku, kitambo nilimwambia aje huku tulime akazingua

Sasa tangu lini Arusha kukawa na Lodge ya elfu 7 🤪
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Makao mapya zipo za 20,000 nzuri sana self
 
Kama hadi umri huo umeshindwa kuwatofautisha mademu wakali na wakaida basi bado hujakua.

Usikute unamiliki Mwanamke ambaye hata huwezi kuongozana naye barabarani [emoji119]
Watu wazima au
 
Kama hadi umri huo umeshindwa kuwatofautisha mademu wakali na wakaida basi bado hujakua.

Usikute unamiliki Mwanamke ambaye hata huwezi kuongozana naye barabarani 🙌
Ahahahah ww mzee tulia uko kwako nina pis kali
 
Na huku kahama sipaelewi hizi bei za chakula
RB naambiwa 2500?? Siriusly
Kahama ni Mji wa uchimbaji madini, kwahiyo maisha yamekuwa ghali kidogo

Hata Lodge zake bei zimechangamka kidogo
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Njoo Moshi Chap Utarudi Huko Ukishiba, Majengo Hapa Ugali, Mnavu, Paja La Kuku Tshs 3000/=
 
Back
Top Bottom