Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

CONTROLA mzima?? Nimeona ulichopost uzuri wa mtu ni vitu vitatu kujiamini, kujipenda, kujijali full stop sasa bakia humu wakupost utakaa sana
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna

Mbona chimbo ziko nyingi, chuga si pa kiboya man
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Marahaba
Karibu Arusha 😁
 
Atapauka mpk akijikuna anamwaga vumbi
Wanadhani mkoani kuna michele na unga wa bure.
Na wamasai wanagawa nyama za ng'ombe bure
Qhagahhaha dah sawa ila sitorudi tena
 
Back
Top Bottom