Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Arusha shikamoooni, nimekutana na bei ajabu

Ongea na wana vizuri huko. Kuna machimbo ya vyumba mpaka buku na msosi hadi jero.
 
Kumbe jamaa amekula shavu la DP WORLD

Sasa huo ubahili wa kulalamikia chakula cha elfu 2 anautoa wapi?

Mwachiluwi nenda ukale hotelini wewe achana na vyakula vya elfu 2 mbili 😅
Mimi naona huyu ni mwendawazimu nilivyokuwa namuona anapambania mkataba wa dpw upitishwe nilizani ni mtu wa mana ni jambo la kushangaza tajiri wa dpw anatafuta gest ya 7000 badala ya kufikia hotelini
 
Mimi naona huyu ni mwendawazima nilivyokuwa namuona anapambania mkataba wa dpw upitishwe nilizani ni mtu wa mana nimeona ni jambo la kushangaza mtu anatafuta gest ya 7000 badala ya kufikia hotelini
🤣🤣🤣 embu niambie mtu wamaana anakuwaje kaka
 
Hellow

Nimekuja zangu arusha kufanya kazi nimekuja na ka hubair wangu na pesa za kuunga unga natafuta gest ya 7000 nimekosa nimepata ya 30k nikakubali natafuta chakula kuanzia 2000 nakutana na bei ajabu yaani jaamaa yangu chakula 4000 nimenunua sijashiba tangu jana nakula si shibi nitarudi dar nimekonda dar kule maokoto mengi sna
Tatizo unapesa unadhani ukiwa na pesa unakosa kushiba angaika kwanza kijana
 
Back
Top Bottom