Hao unaowasema warudishwe hata wakirudishwa hawawezi kutenda waliotenda.
Mi nakuombea Mungu yakukute au yamkute mwanafamilia yako Yale Sabaya na Makonda waliowafanyia watanzania. Hapo ndio akili yako itaka sawa.
Hivi hujiulizi tu kwa Nini mamlaka zimechukua hatua? Au umeona wooote hawana akili wanamwonea Sabaya?
Subiri yakukute ndio utajua