Kama mtanzania mwenye uchungu ......naomba watu wa usalama wammshauri rais...kuwa Hali ya Arusha ni tete..kwanza watu wa Arusha wana hasira sana na serikali ya KIkwete kuanzia Hao ccm Hadi chadema na wananchi wa kawaida.......kuna husia kuwa Mkoa wa Arusha ..unatengwa sambamba na majimbo ya yaliyochagua wapinzani........wananchi wanaona tofauti kubwa na wakati wa mkapa.....mitaani hakuna munguko pesa...mikutano mikubwa hata lie ya afrika mashariki haiendi ..wafanyabiashara wakubwa nao wanalalamika hawana umeme....madhara yamekua makuba ..
Serikali inakosea kufikiria kuwa wananchi wa mikoa Kama Arusha ...wakiteswa watakuwa wapole ...tatizo sasaa wote wamehshagundua adui Yao ni serikali........
Pia hisia za Huyo lema kutotendewa haki zinaendelea ,Siri zikivujishwa na wana ccm wenyewe....
Sielewi Huyo OCD alikuwa na sababu gani ya kulumbana na wananchi na kukamata mkusanyiko wa wananchi as few as 500 people ...wakati wiki tu haijapita ...wana ccm karibu 1'000 waliandamana tena bila kibali kwenye maandamano ya makundi yanayopingana ndani ya chama......sasa hata Kama wanafikiri wananchi ni vipofu ....si wanaona .....kwanini watu 20 wakamatwe kwa kukusanyika ....wakati maaandamano haramu ya watu 1'000 yaliachwa ....
Polisi mtatusababishia umwagaji damu..maunze kulaumu wananchi.....naomba rais Ashauriewe usiku huu aamrishe kesi ya uonevu dhidi ya Lema ifutwe kesho alfajiri ..na aachiwe Huru...kwa maslahi ya taifa...situation in Arusha is tense....watu wana hasira sana na serikali.....uamuzi ni wa serikali saasa.....!.......Hali ya nchi ni tete..machafuko yakianza sasa na maisha ni magumu yataenea Kama moto wa Kifuu ,serikali wawe wapole tuuu!!!!