Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Hebu nijuzeni kinaga ubaga manake wala cjaelewa msingi wa hayo maandamano. ni kumuunga mkono Lema, kupinga OCD kuwaita wananchi panya(ingawaje hili ndo nimekuisikia ucku huu humu jf) au kupinga ukiukwaji wa katiba, haki za binadamu n.k kama alivyoelezea liverpoolfc?! manake naona kuna full mixing na ujuzi!!
 
Waanze arusha kama Benghazi halafu moto huo usambae nchi nzima kuonesha kuchukizwa na vitendo hivyo vya kidhalimu vya serikali ya Mk we le na ccm yake
 
Umechelewa sana kutoa ushauri ndugu,labda ukiweza upite na gari yenye spika Arusha nzima usiku huu..yatayotokea kesho mtajuta

Ndugu yangu, machafuko yakitokea yatamkumba kila mtanzania ndani na nje ya nchi. Na ni jukumu la kila mtanzania kuhakikisha kwamba amani tuliyokuwa nayo inalindwa kwa gharama yoyote ile.
Ninayasema haya kwa mapenzi ya Tanzania na Watanzania.
 
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....

=======

Watanzania wa mikoa mingine wanabidi kuiga mshikamano wa wakazi wa Arusha ili kupambana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Serikali ya magamba kwa kupitia vyombo vya dola. Hongera zenu wakazi wa Arusha kwa kuwa na msimamo usiotetereka katika kupinga unyanyasaji wa Watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Madereva wanaotaka kugoma wana haki ya msingi kufanya hivyo, LAKINI wale madereva watakaotaka kuendelea na kazi yao kesho nao wana haki pia kufanya hivyo, ni wajibu wa serikali kupitia jeshi la Polisi kuwapa ulinzi wa kutosha wale watakaopenda kuendelea na kazi zao kesho na kuhakikisha hawabughuziwi kwa namna yoyote.

Ni wajibu wa serikalii kuhakikisha uhuru wa kila mtu unalindwa, na anafanya chochote atakachopenda kukifanya hiyo kesho ilmuradi tu havunji sheria za nchi na ahatarishi uhuru wa mwenzake, yeyote atakayejaribu kwa namna yoyote kuuzuia uhuru wa mwananchi mwenzake kujiamulia mambo yake achukuliwe hatua stahiki na za haraka.

...Ila hofu yangu tu, je hawa madereva wanaotaka kugoma waliwashirikisha wenye magari katika kutoa uamuzi huo?
 
Hebu nijuzeni kinaga ubaga manake wala cjaelewa msingi wa hayo maandamano. ni kumuunga mkono Lema, kupinga OCD kuwaita wananchi panya(ingawaje hili ndo nimekuisikia ucku huu humu jf) au kupinga ukiukwaji wa katiba, haki za binadamu n.k kama alivyoelezea liverpoolfc?! manake naona kuna full mixing na ujuzi!!
Kama wamekutuma wapelekee taarifa vyovyote watakavyoona ni sawa tu machalii wameshachanganyikiwa.
 
Ndugu yangu, machafuko yakitokea yatamkumba kila mtanzania ndani na nje ya nchi. Na ni jukumu la kila mtanzania kuhakikisha kwamba amani tuliyokuwa nayo inalindwa kwa gharama yoyote ile.
Ninayasema haya kwa mapenzi ya Tanzania na Watanzania.
All the same we have nothing to lose than chains.
 
Huuureeey na kweli kesho lazima porti, hawa maboya wanaitwa mapolisi kweli tunawasubiri kesho. Wanasahao kwa kuna kesho ccm aitakua madarakani. Mkuu ule wa polisi jk amemweka hule msilamu mwenzake afae anatakiwa atolewe. Kweli huyo rais wetu amesoma au ni kihiyo. Mabaraza zake zote ni bomb kabisa. Sio mawaziri n.k.ccm inaleta ujafuko nchini ---- there are some issue which even a lay person can judge. Wamemweka mhe. Lema ndani kwa sababu gani mbona hiyo case aiishi ? Tunauliza ccm (chama cha mamafia) wana njama gani didi ya peoples power
 
Na kweli sana mkuu nitafurahi sana na nasubiri kweli kwa hamu. Kweli lazima mtu aende ukambo. We should fight for our freedom. No one will fight for us except for ourselves.

Akuna kulala mpaka kieleweke. Ccm inakufa kifo cha mende na lazima kifee
 
watanzania wa mikoa mingine wanabidi kuiga mshikamano wa wakazi wa arusha ili kupambana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na serikali ya magamba kwa kupitia vyombo vya dola. Hongera zenu wakazi wa arusha kwa kuwa na msimamo usiotetereka katika kupinga unyanyasaji wa watanzania.
absolutely let us unite , be one with one voice. Unity is the word
 
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.

Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.

KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".

Nawasilisha!

KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA". I condemn it strongly,
in a free and independent country like ours one has no right to call any citizen a rat. It used to be heard from the tongue of the colonialists , and not from the mouth of a supposed to be patriotic police officer.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Dar Es Salaam (Bandari ya salama pamoja na Bwagamoyo) ilikuwa ni sehemu ya makusanyo ya watumwa kabla hawajatawanywa kuelekea maeneo mbali mbali duniani, hivyo tangu kipindi hicho hata sasa akili za watu wa pale zimerithi elements hizo hizo za kitumwa tumwa, angalia hata wanafunzi wanaosoma shule za Dar na Mikoani tofauti zao ni kubwa sana.

Iliyobaki ni kuu boycott tu ule mji watu waliopo kule wa-retreat na kurudi mikoani ili kufanya mapinduzi halisi ya Kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni n.k
Kuliko kung'ang'ania kuishi kwenye makutano ya watumwa as if we are slave masters or buyers

Mkuu Mzizi Mkavu, hivi karibuni katika utafiti wangu katika jiji la Dar nimeona kunaanza kuwa na mabadiliko katika kupinga unyanyasaji unaofanywa na Serikali ya magamba, lakini bado speed yake ni ndogo mno!!! ukilinganisha na miji ya Arusha, Mwanza na hata Mbeya. Jiji la Dar labda litahitaji miaka mingine 10 au 15 ili kufikia mshikamano ulipo Arusha. Utawasikia watu wa jiji wakisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi ndio wanaotuletea fujo nchini hawajui chochote kinachoendelea nchini.... Kikwete kafanya mambo mengi mazuri...unabaki kumwangalia mtu kwa mshangao wa hali ya juu hasa ukitilia maanani ni msomi huyu ana uwezo mkubwa wa kuchanganua mambo na kujua baya na zuri lakini kaamua kuwa taahira!!! Ukimuuliza Kikwete kafanya mazuri kama yapi...anaanza kung'aa macho hana hata moja zuri analoweza kukwambia lililofanywa na Kikwete tangu 2005.
 
ratiba ya kesho jamani tunakwenda jamani kuwakwepa awa mbwa wa jk
 
Hivi tangu wale CHADEMA wawaue wale vijana wawili, familia zao zikoje ? au ndo yameishia hapo? Wengine wameshajipatia umaarufu na imetoka. Nadhani sasa watu wa arusha mmeshatambua kuwa watu wanajipatia umaarufu kupitia damu zenu. Msikubali kuvunja sheria za nchi kwa ajli ya kuwapa umaarufu wachache

Hv wewe (thatha) ulikuwa cha cha where?? Rudi kitandani kwn unaonekana una matongotongo ya usingizi! We na wenzio kama Rejao,ritz,MS,FF na wale wote pole ujinga wenu wa kuwaza kwa masaburi. Kiuno wee!!
 
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....

=======

haki haina chama wala tabaka. haki ni ya watanzania wote...hapa ccm imechemsha.
 
Last edited by a moderator:
kwaio unashauri chadema watende yale ya kuifurahisha ccm,alafu iweje?kama unataka kuifurahisha ccm hamia kwa wenzi wao cuf
hakuna tena muda wa kuskilizia..
damu itayomwagika kesho haitajenga tu chama bali utakuwa mwanzo wa Tanzania mpya..
Dah! Hii ni mbaya sana. Yaani mtu na akiliz zako unaona kumwaga damu isiyo na hatia ni sawa?
Natamani ungeanza kumwaga damu wewe ndio uwe mfano kwa wote!
 
Huuureeey na kweli kesho lazima porti, hawa maboya wanaitwa mapolisi kweli tunawasubiri kesho. Wanasahao kwa kuna kesho ccm aitakua madarakani. Mkuu ule wa polisi jk amemweka hule msilamu mwenzake afae anatakiwa atolewe. Kweli huyo rais wetu amesoma au ni kihiyo. Mabaraza zake zote ni bomb kabisa. Sio mawaziri n.k.ccm inaleta ujafuko nchini ---- there are some issue which even a lay person can judge. Wamemweka mhe. Lema ndani kwa sababu gani mbona hiyo case aiishi ? Tunauliza ccm (chama cha mamafia) wana njama gani didi ya peoples power

Nawasi wasi kama wewe ni MTZ kweli any ways ....
 
Hebu nijuzeni kinaga ubaga manake wala cjaelewa msingi wa hayo maandamano. ni kumuunga mkono Lema, kupinga OCD kuwaita wananchi panya(ingawaje hili ndo nimekuisikia ucku huu humu jf) au kupinga ukiukwaji wa katiba, haki za binadamu n.k kama alivyoelezea liverpoolfc?! manake naona kuna full mixing na ujuzi!!
Yote sawa tu. Buti sioni kama kitendo hiki kitatunufaisha zaidi ya kutuua kisiasa. Enyi viongozi wa Chadema, mbona bado mko kimya? Toeni basi tamko....naona wote mmekaa kimya mnaogopa kuongea chochote.
 
Checki hii polisi wanavyomnyanyasa Lema,jamaa kweli ana msimamo....Sasa kama mbunge anakuwa disrespected kiasi hiki na mapolisi,je vipi wananchi wa kawaida?Wananchi wa Arusha ninawajuwa,hawatatuangusha.Magamba hawaijui Arusha,nina uhakika.
Machafuko ya Arusha Part II - YouTube
 
Yote sawa tu. Buti sioni kama kitendo hiki kitatunufaisha zaidi ya kutuua kisiasa. Enyi viongozi wa Chadema, mbona bado mko kimya? Toeni basi tamko....naona wote mmekaa kimya mnaogopa kuongea chochote.
Tamko la nini ule ni mgomo wa wapiga kura wa mbunge hata wana CCM wamo bora uwaambie CCM watoe tamko kuwakataza wanachama wao. CDM haina haja ya kusema chochote wataharibu mchuzi ni sawa na train ikishaona njia dereva hana haja ya kukata kona itafuata reli yenyewe..
 
Back
Top Bottom