Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 142
wee nawe unaboa!?? Aaagh, kwenda hukoMimi ni mwanachama wa CDM..sipendi kusikia tunavyichukuliwa na other parties. kwanini tuendelee kuitwa watu wa vurugu, mambumbumbu, tulioishiwa sera?
Tubadilike..hata kama tuna machungu sana na nchi yetu, its better tutumie means nzuri na zenye manufaa kuleta ukombozi. Mbona Malawi wameweza, kwanini sisi tushindwe?