Miaka 50 ya uhuru wa bendera Wananchi Tumechoshwa na;
1. Umaskini wa kuletewa na CCM,
2. Ufukara uliokithiri wa kuletewa na MAGAMBA,
3. Manyanyaso kutoka kwa WALOWEZI na MAKUPE wa CCM,
4. Utu wetu kutothaminiwa kwa Kuitwa PANYA, wadanganyika wa kanga na vitenge, Wavivu wa Kufikiri tusio kuwa na taaluma ya utawala kama NET GROUP SOLUTION, RITES, TANZANITE ONE, AFRICAN BARRICK GOLD, SYMBION, KAGODA, RICHMOND, AGRECO, DO ONCE, EPA, GGM, UPUNGUZAJI WA RAIA MV BUKOBA, SPICE ISLANDER, DISCO TOTOs, MBAGALA & GONGOLAMBOTO, INFLATION MGT, TCCC, TBL, KIWIRA ANNABEN...
5. Wanyama wetu na kuporwa
6. Kukosa Huduma bora za Afya
7. Kukosa maji safi na salama
8. Kukosa ajira
9. Kuwa Gizani kwa kukosa umeme badala yake waporaji wa madini kupatiwa umeme unaotokana na kodi zetu wananchi.
10. Kuibiwa kura wakati wa uchaguzi
11. Askari polisi kuamua ku ua wananchi Arusha,Mara, Igunga, Buzwagi, Mererani...
12. Sera za CCM za sisi wananchi Kuwekezewa madude kwenye Ardhi yetu wenyewe
13. Mafisadi wa MAGAMBA ku-ua viongozi wetu wazalendo kama Mwl Nyerere, Hayati Karume, Sokoine, Kombe, Kolimba, Prof Chachage, Wangwe, Mbatia, Prof. Shaba ...
14. kukosa sukari na bidhaa muhimu
15. sera za kueneza njaa za CCM
16. kitengo cha usalama kuwekwa mfukoni na MAFISADI...
17. Kupanda sana kwa gharama za maisha
18. Tanzania yetu Kutokuwa na sera wala mfumo wa maendeleo kwa wananchi
19. Bunge lenye kutetea Mafisadi chini ya CCM
20. Mahakama kutokuwa huru
.... Kesho itakuwa ni Mwanzo tu wa mapambano ya muda mfupi na hawa magamba, tutafunga barabara kuu zote kesho, then tutaendelea keshokutwa ambapo mgomo utajumuisha mkoa wa kilimanjaro na Manyara. kisha itafuata Tanga, Mara, Mwanza, Shinyanga, Dar, Mbeya, Then Nchi Nzima kwa muda usiokuwa na kikomo. Tutasitisha kwa muda biashara ya Utalii ...