"kumkataa OCD" ocd hakataliwi kwa kuwa sio politician. Sheria ya tz kuhusu viongozi inasema, kiongozi yeyote akitembea kwa miguu akiambatana na watu wengine wasiopungua watano huku waki argue political issues watakuwa wanaandamana na lazima wawe na kibali.
Sheria ya kipuuzi kama hiyo unaona iko sahihi?