Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
Wanalazimisha wapande waende wapi.... unajua polisi ndio huwa wanaanzisha fujo.Polisi wameamua kulazimisha watu kupanda Dala dala na kuwa lazimisha madereva wa dala dala kuendesha dala dala, ila madereva wengi wamekataa na kukimbia kuacha dala dala standa,kuna deffender kama 60 za polisi kwa sasa mjini.vijana zaidi ya 30 wamekamatwa wapo ndani.