Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Peleka ukuda huko threader ameshasema hataki ligi objective zake ni kuuelezea mji wa Arusha and obvious that's what have been done here wewe tu ndio nakuona unaleta challenge za kipimbi like an empty set blal fuuu.
Naona umeshachanganyikiwa, tulia dozi ikuingie.
 
Tuendelee kuwachoma mpaka wapasukee... Kwao Ileje vumbi tupu lazima wachukie haya.. hahahahha
Msukule wa kijijini arusha katika ubora wako.
Ileje nayo si ni sehemu kama sehemu nyingine watu wanaishi.
Ubaguzi na ukanda utawamaliza ninyi washamba wa arusha.
 
Aise naona yamepiga kimya sana, watu tumekaaga tu tunawadere wanavyolipondea Geneva sasa tumewaamulia hawajiwezi..... Safari City na USA River satellite City zikikamilika Chugga ni nyngine kabisa.
Utuoneshe na nyumba yako unayoishi wewe mshamba wa kijijini arusha.
Umekazana kupoteza mda wako kwa kupost guest house na makarakana yasiyokuhusu hapo kijijini arusha.
 
Ila makondakta amesema watu type hyo yenu tusiwafollow.

Hivyo nakupuuza tu
314419901718c1218f14b466704e7ce7.jpg
😀😀😀 na kweli huyu ni wakupuuzwa sababu ukimsoma anachokiongea haswa hamna mantiki anapinga picture kuwekwa huku utafikiri yeye ndio anazishikilia zisidondoke hoja za kipumbavu kichupi.
 
MTU yuko ileje nae anadai anaijua arusha
Ileje ni sehemu kama sehem zingine Tanzania.
Nyie misukule wa arusha ushamba una wasumbua sana.
Mmeshabaguana wenyewe kwa wenyewe huko arusha kuanzia meru, longido, loliondo, karatu n. k, halafu mnataka mlete ubaguzi nchi nzima.
 
Pia ni mji pekee ambao bangi inavutwa hadharani stendi kuu bila kupekecha macho.

Pia ni mji unaongoza kwa vijana wanywa viroba na gongo kawaida sana kwao.

Pia ni mji ambao vijana wanajivunia maghorofa ambayo siyo ya kwao ila watu wa kutoka mikoa mingine wanaenda kuwasogeza nje ya mji huku wao wakiuza maeneo ya katikati ya mji.

Pia ni mji wa watu wanaopenda sana ukabila na huwa wanakutambua kwa kutokuwa na meno ya kashata.

Ni mji unaongoza kwa ubaguzi wa kikabila kama wakenya walivyo na ndo mana hata kiongozi wake alienda UNO kudai uhuru wa Arusha pekee ila Nyerere wa kutokea kanda ya ziwa mkoani Mara katka kabila dogo sana la Wazanaki kaenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika na wao wakiwemo ila hawakubaguliwa na bado wanajiaminisha kuwa ni wajanja kuliko huyu mzanaki.

Ni wapenda sifa sana na wanaongoza kwa kuongea kimizuka sana kwa ghadhabu kama Viongozi wao muwaonavyo katika majukwaa.

Huwa wanajiaminia kuwa wanaweza kuongoza nchi ila kiukweli ni kuwa hawawezi mana wataleta utengano mana mfano mzuri mnaujua
 
Uzi huu ni wa kipumbavu
..na ukabila
Hawa watu wa kijijini arusha ni washamba sana, wanaiga maisha ya wakenya ya ubaguzi na ukabila halafu ndio wanaona fasheni,
hata namna ya kuongea wanaiga wakenya.
Wanawaogopa wakenya sana hata ukienda arusha usishangae kuona project nyingi za wakenya pale
nenda sakina utakuta nyumba nyingi ni za wakenya, pia fursa nyingi arusha wamechukua wakenya.
Badala ya kuwaelimisha watu wa jamii zao kama masai kule maporini wanakuja hapa JF kuleta story za kitoto.
Nenda loliondo, karatu, longido, monduli n. k ni visehem vimedumaa hadi huruma.
Wao wanafikiri arusha ni pale mjini peke yake
 
Mkuu umenichekesha kweli, Dar ni takataka kuishi kwa mtu alie wahi ishi Arusha, pale ni pa kwenda kwenye ishu na kuondoka fasta, kibajaji kinarukaruka kama chura na jinsi walivto na barabara mbovu ndio balaa, mavi kila kona chemba zinatema balaa, kariakoo chemba zimetapika laikini mijitu ya huko imekaa pembeni inakula matunda ya kukatiwa na wanaume wenzao, Dar ni pa ki soro sana arifu.
Weka na picha za karatu, loliondo, engaruka, monduli, longido n. k
Huko arusha ni shambani tu hauwezi kufananisha na dar
 
Hawa watu wa kijijini arusha ni washamba sana, wanaiga maisha ya wakenya ya ubaguzi na ukabila halafu ndio wanaona fasheni,
hata namna ya kuongea wanaiga wakenya.
Wanawaogopa wakenya sana hata ukienda arusha usishangae kuona project nyingi za wakenya pale
nenda sakina utakuta nyumba nyingi ni za wakenya, pia fursa nyingi arusha wamechukua wakenya.
Badala ya kuwaelimisha watu wa jamii zao kama masai kule maporini wanakuja hapa JF kuleta story za kitoto.
Nenda loliondo, karatu, longido, monduli n. k ni visehem vimedumaa hadi huruma.
Wao wanafikiri arusha ni pale mjini peke yake
Hahahah nimekusoma kiongoz... ushamba ni mzigo..
 
Msukule wa kijijini arusha katika ubora wako.
Ileje nayo si ni sehemu kama sehemu nyingine watu wanaishi.
Ubaguzi na ukanda utawamaliza ninyi washamba wa arusha.
Hawa jamaa wana ubaguzi kama wakenya walivyo.wakenya kuna redio zinatangaza lugha za kikabila k.v kikamba kikuyu kijaluo kikisii n.k naona ndo wanawezana na hawa jamaa.kule kuna shule zinafundisha kikabila mpaka std 4.
Ni lazima mkenya aitwe jina la kikabila na la kizungu moja au la kiarabu moja na hauwezi ukaitwa yote ya kizungu/kiarabu ni sheria yao.huwa wanashindana kikabila sasa ndo sawa na hawa jamaa.

Ni kama mfano mzuri kuna watu hawawezi nunua duka lako ukiwa sio wa kabila lao.au ole wako wajue hapo pembeni kuna wa kwao wanakuhama fasta sana.

Wanajuta wanadai kuwa nilikuwa nanunua kwa chasaka bana.
 
Acha kutoka povu wewe, ngoja nikusahihishe, Arusha hakuna mahoteli ya kigeni hakuna ubaguzi huo kila anaeweza kulipa anaingia hotelini na kujinafsi, Arusha hakuna hela ya kigeni hata muuza ndizi na shanga anamiliki dola, sio kwenu mtu akilipwa dola anakimbia kuripoti ametapeliwa analipwa shilingi feki.
Ushamba utawamaliza ninyi misukule ya arusha, tatizo hamjatembea halafu mnaleta takataka zenu hapa.
Nenda mwanza, nenda kasumulu na tunduma mipaka ya mbeya, nenda kariakoo n. k dollar kutumika ni kawaida tu na watu hawashangai. Ninyi huko kijijini arusha mnaona bonge la picha
 
Hawa jamaa wana ubaguzi kama wakenya walivyo.wakenya kuna redio zinatangaza lugha za kikabila k.v kikamba kikuyu kijaluo kikisii n.k naona ndo wanawezana na hawa jamaa.kule kuna shule zinafundisha kikabila mpaka std 4.
Ni lazima mkenya aitwe jina la kikabila na la kizungu moja au la kiarabu moja na hauwezi ukaitwa yote ya kizungu/kiarabu ni sheria yao.huwa wanashindana kikabila sasa ndo sawa na hawa jamaa.

Ni kama mfano mzuri kuna watu hawawezi nunua duka lako ukiwa sio wa kabila lao.au ole wako wajue hapo pembeni kuna wa kwao wanakuhama fasta sana.

Wanajuta wanadai kuwa nilikuwa nanunua kwa chasaka bana.
Dah mtu ukisifia kwenu ndio ubaguzi acha upoyoyo we tanularasa jf ni huru kuanzisha thread si uanzishe inayoelezea kwenu hamna atakaepinga tena threader hata hajalinganisha Arusha na mkoa wowote kama wengine wanavyoanzisha thread wanalinganisha Arusha na mikoa yao lakini hatuoni povu lote hili.

Arusha kuelezea mkoa wao ndio ubaguzi alafu sasa ulivyo empty unasema CHASAKA. Hao wanaotumia hiyo lugha kwao ni Arusha kweli? Punguza pumba wivu na chuki aliyekutangulia kakutangulia tu.
 
😀😀😀 na kweli huyu ni wakupuuzwa sababu ukimsoma anachokiongea haswa hamna mantiki anapinga picture kuwekwa huku utafikiri yeye ndio anazishikilia zisidondoke hoja za kipumbavu kichupi.
Huyu jama ni gasho flani hv.. hvyo mkaushie wala usimpe kiki
 
Eroo niaje, mbona povu hivii nini mbaya asee , take it easy .. don take life that serious!!!!
Wadanganyeni masai huko porini arusha,
Nikweli arusha hauwezi pata kiwanja ukiwa na milion 50 ?
Na wakati ukiwa na milion 20 unapata kiwanja kizur hata kieneo cha njiro mnachoita uzunguni
 
Ushamba utawamaliza ninyi misukule ya arusha, tatizo hamjatembea halafu mnaleta takataka zenu hapa.
Nenda mwanza, nenda kasumulu na tunduma mipaka ya mbeya, nenda kariakoo n. k dollar kutumika ni kawaida tu na watu hawashangai. Ninyi huko kijijini arusha mnaona bonge la picha
Wewe ndio mshamba tena unajiaibisha kwa kuongea shiit hiyo mipaka yote nimefika currency inayotumika ni ya nchi jirani kama tunduma pale kwacha inatumika sana na boarder nyingine respectively lakini Arusha dollars pounds Euro ndio foreign currencies zinazotamba.

Kutokana na watalii wengi kutoka mataifa yao respectively kuja nazo.
Dah we mwalimu wako alikua na kazi yaani hata akili ndogo ya reasoning haipo ni sheeeeeda refu sana.
 
Back
Top Bottom