Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Habari zenu wadau.

Kwanza naomba niseme huu uzi hauna lengo la kuilinganisha Arusha na mkoa wowote Tanzania pia nataka huu uzi utumike kama reference kwa threads zote zitakazouongelea mji wa Arusha.

Dhumuni la kuuanzisha uzi huu ni kutokana na wimbi kubwa la members huku kuusema mji wa Arusha kwa namana tofauti ambazo pengine kutokana na kuwa sio wakazi wa Arusha wanaweza wasiwe sahihi sana.

MAMBO YA KIPEKEE KUHUSU MKOA WA ARUSHA.

1. Hati rasmi za uhuru wa Tanzania zilitiwa sahihi hapa na Uingereza mwaka 1961.

2. Azimio la Arusha la kujitegemea lilipitshwa mjini hapa karibu na maeneo ya mnara wa saa.

3. Makubaliano ya Arusha accords ya kusitisha vita nchini Rwanda yalipitishwa mjini Arusha mwaka 1993.

4. Wameru kwa kupitia organisation yao waliyoiunda ndio watanzania wakwanza kudai uhuru wao UN muda mrefu kabla ya Nyerere.
Unamfahamu Japhet Kiliro ?? Pitia historia ya Tanzania! Utakuta habari hii Alienda kuomba uhuru wa Wameru UNO... Lingine ni kuwa Wameru walifungua kesi Queens Bench kudai ardhi yao kesi hii maarufu inaitwa "Meru Land case"

5. Una mbuga nyingi barani Africa, Hali ya hewa ni nzuri sana. Mbuga ya wanyama ya Serengeti na Ngorongoro, Ziwa Manyara, Olduvai Gorge, Arusha National Park,Tarangire na mlima Kilimanjaro zipo ndani\karibu na mji huu.

6. Arusha imechezwa movie ya Hollywood maarufu kama HATARI mwaka 1962.....Hatari! (pronounced [hɑtɑri], Swahili for "Danger!") is a 1962 Americanaction/adventure romantic drama film directed by Howard Hawks and starringJohn Wayne. It portrays a group of professional wildlife catchers in Africa.[2]The film includes dramatic wildlife chases and the scenic backdrop of Mount Meru, Arusha a dormant volcano.

7. Wakati mikoa yote inahangaika na madawati likiwemo jiji kuu la Dar, Arusha haikuwahi kuwa na upungufu wa dawati hata moja na kila secondary school inayo maabara hata kabla ya agizo la Rais. (shule nyingi za serikali za Arusha zina computer labs)

8. Arusha ndio mkoa wenye matumizi makubwa ya Internet kuliko Mkoa wowote Tanzania and East Africa.

9. Arusha ni mkoa wa kwanza kwa Social Development Index (Huduma Bora za Kijamii kama maji, life expetancy, Health services, Education) By UNDP

10. Arusha ndio mkoa unaofatia ukitoka Dar kwa wingi wa viwanda na kuchangia katika pato la Taifa.

11. Arusha ndio mkoa wenye gharama za juu za maisha kuliko mkoa wowote Tanzania, kama unataka kuanzia maisha Arusha na una uhakika hauna kipato cha kujitosheleza nakushauri ujaribu Mwanza.

CHANGAMOTO ZA JIJI LA ARUSHA

1. Roads Roads Roads, Barabara Arusha zipo nyingi ila ni nyembamba kutokana na mji huu kuwa na masterplan ambayo ni ya muda mrefu, Maeneo ambayo yanatakiwa kuwekewa mkazo ni pamoja na Olasiti, Olasiver, Englesheraton, USARiver, Moshono, Kisongo, Ngaramtoni ambapo ndipo mji unaelekea.

Mimi kama kama mzaliwa Arusha na nimetembea mikoa yote sio kupita kwa bus wala kukaa siku 2 bali nimeishi mikoa mingi kwa kweli, nimekuja koconclude Arusha ni ya kipekee sana kuanzia tabia za watu wa Arusha ni tofauti 100% na watanzania wote, Maisha ya watu wa Arusha ni tofauti na mikoa mingine na hata wa mikoani wakija Arusha wanakiri maisha ya Arusha na watu wake ni wa tofauti.

#Arusha #GenevaOfAfrica #SafariCity #UN #A-Town #Machalii #Mamong'oo #Arachugga #Mabillionare #Meli #Mafogo #MjiWaMabilionea #HalfLondon #TheOnly #MjiWaWajanja #Tanzanite #HeadQuaters #EastAfricaCommunity #Zurich #TanzaniteInTheSky #Wakakamavu #ChaliAraa #Jombii #Ungalelo #Lakuchumpa #Matejoo #Ungalimii #Arifu #Makamanda #USARiver #Watengwa #Weusi #Nako2Nako #USARiverSatelliteCity
Niliwa kuishi Arusha Kwa miaka kumi.. yaani Shule pamoja na maisha ya kawaida.. lakini ninaona kunabaadhi ya vitu umesahau kusema hapa...Vpi kuhusu viroba na pombe ya banana... yaan asbh tu machariii washajilock network haisomi ariifu! Vp kuhusu lile vumbi lenu mithili ya poda au unga wa mhogo.. na matobe yale ya mfinyanzi wakati wa masika inakuje hapo
....vp kuhusu bar na vilabu vya pombe kila corner
..yaan kila seehemu kuna bar.. vp kuhusu rate ya uzinifu na ufusika.. acha niishie hapo by now..
 
Arachuga ni namba ingine arifu, fact nyingine mji unaoongoza kwa uchomaji wa nyama na ulaji wa nyama kuliko mikoa yote tz, na unywaji wa supu, wakat watu wanahangi na sukari, arachunga unakuta mnama anahangaikia supu.
Hivi watu wa Mbeya, dar au kigoma mnsujua mtura?
Jamani karibuni kwa mromboo tupige mguu wa mbuzi machaliii
 
Niliwa kuishi Arusha Kwa miaka kumi.. yaani Shule pamoja na maisha ya kawaida.. lakini ninaona kunabaadhi ya vitu umesahau kusema hapa...Vpi kuhusu viroba na pombe ya banana... yaan asbh tu machariii washajilock network haisomi ariifu! Vp kuhusu lile vumbi lenu mithili ya poda au unga wa mhogo.. na matobe yale ya mfinyanzi wakati wa masika inakuje hapo
....vp kuhusu bar na vilabu vya pombe kila corner
..yaan kila seehemu kuna bar.. vp kuhusu rate ya uzinifu na ufusika.. acha niishie hapo by now..
Ndo utofauti huo wa chuga na sehemu nyingine ... Ndo mana tunasema chuga is unique from all other cities in Bongo
c0240b791f6d7c0792a30ce35d622258.jpg
 
Nilifikiri unasfia uzur wa Arusha kumbe hata na ubaya wake pia unausifia.. In that sanse tambua kua kila mkoa ni unique... na una uzur wake ambao huwez ona sehemu nyingine.. zaid sana unatakiwa utembee ili upunguze ushamba na mtazamo wa kizamanii..
 
Niliwa kuishi Arusha Kwa miaka kumi.. yaani Shule pamoja na maisha ya kawaida.. lakini ninaona kunabaadhi ya vitu umesahau kusema hapa...Vpi kuhusu viroba na pombe ya banana... yaan asbh tu machariii washajilock network haisomi ariifu! Vp kuhusu lile vumbi lenu mithili ya poda au unga wa mhogo.. na matobe yale ya mfinyanzi wakati wa masika inakuje hapo
....vp kuhusu bar na vilabu vya pombe kila corner
..yaan kila seehemu kuna bar.. vp kuhusu rate ya uzinifu na ufusika.. acha niishie hapo by now..
Ulikua unataka tutandike red carpet mkoa wote? Acha pumba hujasoma hata geography land yenye rutuba kama ya Arusha inakuwaje? Unaongea mambo ya kisoro eti chugga ufuska umezidi em nenda kaangalie mikoa inayoongoza kwa HIV/AIDS kama utaikuta Arusha. Arusha ni ya mwisho jombaa punguza pumba.
 
Nilifikiri unasfia uzur wa Arusha kumbe hata na ubaya wake pia unausifia.. In that sanse tambua kua kila mkoa ni unique... na una uzur wake ambao huwez ona sehemu nyingine.. zaid sana unatakiwa utembee ili upunguze ushamba na mtazamo wa kizamanii..
Nimetembea mikoa ya Tanzania karibia yote!! Na baadhi ya miji Africa!! Hakuna kama A town A town!! Sio wewe ambae hata dollar umeionea ukubwani
 
Miji gani Ya Africa unaijua... acha kuleta ukabila wako hapa naubishi wakijingakijinga!
 
Ulikua unataka tutandike red carpet mkoa wote? Acha pumba hujasoma hata geography land yenye rutuba kama ya Arusha inakuwaje? Unaongea mambo ya kisoro eti chugga ufuska umezidi em nenda kaangalie mikoa inayoongoza kwa HIV/AIDS kama utaikuta Arusha. Arusha ni ya mwisho jombaa punguza pumba.
Tatizo machalii wa wa Arusha.. mko narrow minded.. viroba na mirungi inawaharibu.. mnajihis mko kama ulaya sababu ya kutafuna mirungi na kuvuta bangii.. a.k.a kitu cha Arusha!!
 
Alafu kuna vichaa wanasema Arusha imependelewa na CCM eti kwa kupewa mawaziri wakuu wengi ambao walipendelea Arusha
Ni vichaa tu kama ulivyosema, ila ukweli ni kwamba arusha imebeba ccm kwa kuwapa mawaziri wakuu wapiga kazi
 
Serengeti haipo Arusha,na mleta mada hoja yake kuu anauzungumzia mkoa wa Arusha,sasa suala la kuzungumzia vitu vilivyo karibu mkoa wako na kuvifanya ndio advantage ya mkoa wako hiyo ni irrelevant na hoja yenyewe na yeye mwenyewe mwanzo kabisa amesema hana lengo la kuulinganisha mkoa wa Arusha na mkoa mwingine,so alichopaswa kuzungumzia yeye ni mkoa wa Arusha tu,kama kuwa karibu na Serengeti basi mwanza wako karibu zaidi kuliko Arusha,yeye alipaswa kuzungumzia ni vile vilivyomo Arusha na uzuri wa Arusha tu na maeneo yake kama vile karatu,kwa mrombo,oljoro ,ikidinga, maji ya chai,usa river,ngulelo,ngaramtoni.kisongo,monduli,muriet,majengo,mbauda ,njiro,moshono,kijenge,tengeru,na kwingineko
Ipo arusha kimapato, kampuni %95 zinazopeleka watalii Serengeti ni za arusha, Serengeti imepakana na ngorongora na imeingia kidoga mkoa wa arusha, mtoa mada yupo makini sana.
 
Bado UN inaleta miradi mikubwa Arusha hilo jengo litakamilika muda sio mrefu.

Ipo arusha kimapato, kampuni %95 zinazopeleka watalii Serengeti ni za arusha, Serengeti imepakana na ngorongora na imeingia kidoga mkoa wa arusha, mtoa mada yupo makini sana.
Man watu wengine ligi ndio furaha yao.
 
Habari zenu wadau.

Kwanza naomba niseme huu uzi hauna lengo la kuilinganisha Arusha na mkoa wowote Tanzania pia nataka huu uzi utumike kama reference kwa threads zote zitakazouongelea mji wa Arusha.

Dhumuni la kuuanzisha uzi huu ni kutokana na wimbi kubwa la members huku kuusema mji wa Arusha kwa namana tofauti ambazo pengine kutokana na kuwa sio wakazi wa Arusha wanaweza wasiwe sahihi sana.

MAMBO YA KIPEKEE KUHUSU MKOA WA ARUSHA.

1. Hati rasmi za uhuru wa Tanzania zilitiwa sahihi hapa na Uingereza mwaka 1961.

2. Azimio la Arusha la kujitegemea lilipitshwa mjini hapa karibu na maeneo ya mnara wa saa.

3. Makubaliano ya Arusha accords ya kusitisha vita nchini Rwanda yalipitishwa mjini Arusha mwaka 1993.

4. Wameru kwa kupitia organisation yao waliyoiunda ndio watanzania wakwanza kudai uhuru wao UN muda mrefu kabla ya Nyerere.
Unamfahamu Japhet Kiliro ?? Pitia historia ya Tanzania! Utakuta habari hii Alienda kuomba uhuru wa Wameru UNO... Lingine ni kuwa Wameru walifungua kesi Queens Bench kudai ardhi yao kesi hii maarufu inaitwa "Meru Land case"

5. Una mbuga nyingi barani Africa, Hali ya hewa ni nzuri sana. Mbuga ya wanyama ya Serengeti na Ngorongoro, Ziwa Manyara, Olduvai Gorge, Arusha National Park,Tarangire na mlima Kilimanjaro zipo ndani\karibu na mji huu.

6. Arusha imechezwa movie ya Hollywood maarufu kama HATARI mwaka 1962.....Hatari! (pronounced [hɑtɑri], Swahili for "Danger!") is a 1962 Americanaction/adventure romantic drama film directed by Howard Hawks and starringJohn Wayne. It portrays a group of professional wildlife catchers in Africa.[2]The film includes dramatic wildlife chases and the scenic backdrop of Mount Meru, Arusha a dormant volcano.

7. Wakati mikoa yote inahangaika na madawati likiwemo jiji kuu la Dar, Arusha haikuwahi kuwa na upungufu wa dawati hata moja na kila secondary school inayo maabara hata kabla ya agizo la Rais. (shule nyingi za serikali za Arusha zina computer labs)

8. Arusha ndio mkoa wenye matumizi makubwa ya Internet kuliko Mkoa wowote Tanzania and East Africa.

9. Arusha ni mkoa wa kwanza kwa Social Development Index (Huduma Bora za Kijamii kama maji, life expetancy, Health services, Education) By UNDP

10. Arusha ndio mkoa unaofatia ukitoka Dar kwa wingi wa viwanda na kuchangia katika pato la Taifa.

11. Arusha ndio mkoa wenye gharama za juu za maisha kuliko mkoa wowote Tanzania, kama unataka kuanzia maisha Arusha na una uhakika hauna kipato cha kujitosheleza nakushauri ujaribu Mwanza.

CHANGAMOTO ZA JIJI LA ARUSHA

1. Roads Roads Roads, Barabara Arusha zipo nyingi ila ni nyembamba kutokana na mji huu kuwa na masterplan ambayo ni ya muda mrefu, Maeneo ambayo yanatakiwa kuwekewa mkazo ni pamoja na Olasiti, Olasiver, Englesheraton, USARiver, Moshono, Kisongo, Ngaramtoni ambapo ndipo mji unaelekea.

Mimi kama kama mzaliwa Arusha na nimetembea mikoa yote sio kupita kwa bus wala kukaa siku 2 bali nimeishi mikoa mingi kwa kweli, nimekuja koconclude Arusha ni ya kipekee sana kuanzia tabia za watu wa Arusha ni tofauti 100% na watanzania wote, Maisha ya watu wa Arusha ni tofauti na mikoa mingine na hata wa mikoani wakija Arusha wanakiri maisha ya Arusha na watu wake ni wa tofauti.

#Arusha #GenevaOfAfrica #SafariCity #UN #A-Town #Machalii #Mamong'oo #Arachugga #Mabillionare #Meli #Mafogo #MjiWaMabilionea #HalfLondon #TheOnly #MjiWaWajanja #Tanzanite #HeadQuaters #EastAfricaCommunity #Zurich #TanzaniteInTheSky #Wakakamavu #ChaliAraa #Jombii #Ungalelo #Lakuchumpa #Matejoo #Ungalimii #Arifu #Makamanda #USARiver #Watengwa #Weusi #Nako2Nako #USARiverSatelliteCity
Like kuuuuuuuuuuuuuubwaaaaaaaa!!!

Mkuu uko sahihi sana, huu ndio uzalendo
 
Safari City Arusha hii project imeshaanza na ndio itakayoipaisha Arusha pamoja na USA River Satellite City tujilinganishe na majiji ya mbele huko sio hapa tena...

Hebu wawekee na picha za African court of human rights!! Waone na wajiulize kwa nini projects ka hizi hazipelekwi kwao!!
Arusha ni headquarters za ESAMI, EAC, PAPU( Pan African Postal Union), African Court of Human rights
 
Ma arifu,jombaaa, machaliii, mnama, hahahahah yaani hata uvaaji wa modo ulianzia arusha,sasa hivi vijana ndio wanaona fasheni, enzi hizo inapigwa jeans ya kubana na raba kubwa/ ndaba pamoja na shati la dogi dogi. Full swagwaaaaz kama papaa mafido. Acheni usoro nyie ndezi wakuja
 
Man watu wengine ligi ndio furaha yao.
Haikua ligi man ,ilikua ni kutaka kueleweshwa vizuri sababu topic inauzungumzia mkoa wa Arusha so nilitegemea kitakachozungumziwa ni cha Arusha tu na si vinginevyo ni bahati mbaya mlidhani ninaleta ligi lakini mimi si mtu ligi ila ninapenda kueleshwa vizuri, kwani hilo la Serengeti kutokua mkoa wa Arusha lipo wazi,Serengeti ipo mkoa wa Mara na Mbunge wake alikua Dr Kebwe Steven Kebwe ambaye sasa ni mkuu wa mkoa wa Morogoro,isipokua ni ukweli uliowazi kwamba Arusha ni mkoa unaonufaika kwa kiasi kikubwa kutokana na uwepo wa mbuga ya Serengeti hili sina ubishi kabisa,nilichokua nataka mimi kama unavyoendelea kuonesha maeneo mbalimbali ya Arusha na maendeleo yake na si kutaja maeneo yaliyo nje ya Arusha as a pride of Arusha, No hilo si sawa,wew endelea kuonyesha maeneo tofauti ya Arusha watu waone ,mimi siwezi kubisha au kuwa negative kuhusu Arusha kwa kuwa mimi ni mdau wa huo mkoa,nimeshaishi hapo na ninapapenda kutoka moyoni kwani hata unapoleta hizo picha zinazoonesha maeneo tofauti zinanikumbusha mbali sana na ninajisikia nostalgic,maeneo kama Mbauda,Sombetini,Kwa Mrombo,Ngaramtoni ,Mianzini,matejoo,Unga limited,Kijenge juu,Mwanama ,Moshono,Kwa Mrefu,Kwa iddy,Shamsi,Njiro kontena,Njiro Amani bar,Nanenane hasa kwa nick pub,Usa river,Leganga ,kikatiti,Kisongo,na maeneo haya maeneo hata nikiyataja najisikia raha so nilipozungumzia hayo haikua ligi wala sikuwa na hard feeling against my second town isipokua ukweli usemwe.
 
Back
Top Bottom