Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

AICC hospital soon Wataanza ujenzi wa hospitali yao mpya...

upload_2016-7-2_9-8-33.jpeg

mjengo wenyewe ndio huo hapo.
 
Pia ni mji pekee ambao bangi inavutwa hadharani stendi kuu bila kupekecha macho.

Pia ni mji unaongoza kwa vijana wanywa viroba na gongo kawaida sana kwao.

Pia ni mji ambao vijana wanajivunia maghorofa ambayo siyo ya kwao ila watu wa kutoka mikoa mingine wanaenda kuwasogeza nje ya mji huku wao wakiuza maeneo ya katikati ya mji.

Pia ni mji wa watu wanaopenda sana ukabila na huwa wanakutambua kwa kutokuwa na meno ya kashata.

Ni mji unaongoza kwa ubaguzi wa kikabila kama wakenya walivyo na ndo mana hata kiongozi wake alienda UNO kudai uhuru wa Arusha pekee ila Nyerere wa kutokea kanda ya ziwa mkoani Mara katka kabila dogo sana la Wazanaki kaenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika na wao wakiwemo ila hawakubaguliwa na bado wanajiaminisha kuwa ni wajanja kuliko huyu mzanaki.

Ni wapenda sifa sana na wanaongoza kwa kuongea kimizuka sana kwa ghadhabu kama Viongozi wao muwaonavyo katika majukwaa.

Huwa wanajiaminia kuwa wanaweza kuongoza nchi ila kiukweli ni kuwa hawawezi mana wataleta utengano mana mfano mzuri mnaujua
 
Hahaaaaaaaa hiyo ya bangi ni kweli ila Hayo mengine uongo . Acha uongo
 
Kwa sababu wapo watu mpaka kesho wanadhani na wanafahamu katika uelewa wao kwamba Serengeti ipo Arusha na kwa kweli hiyo ndio ilikua concern yangu.

In that case kwanza ufahamu origin ya 'SERENGETI' .... NI SIRINGET Kwa lugha ya kimaasai ambao ni wenyeji wa wa Arusha... So there is already a link.. Pia Ngorongoro Conservation Area ipo kwenye ecosystem ya Serengeti....
 
arusha tumeijenga sisi wachaga,wazawa wa arusha ni sawa na wazaramo wa dar kazi kuuza ardhi bila mpangilio
Ukikaa kwenye umaskini lazima utakuwa maskini..lazima uende kwa wenye uwezo ndio utapata fedha. Swali langu ni kuwa Moshi kwa wachaga na Arusha kupi kuko juu? au Kilimanjaro kwa wachaga na Dar ya Wazaramo kupi kuko juu?
Kiimanjaro imedumaa kwa umaskini kwa sababu wote wanaokaa ni wa aina moja mkuu. Kuna dada wa kimangi ametoka huko ameniambia kila mtu huko Kishumundu ana wazo la kukimbia.
 
Kitu cha kweli nachojua mimi swala la kipato kingi taifa linavuna ni Dar na Mwanza ikifuatiwa na Mbeya,hiyo ni tosha kuonyesha Arusha imekalia wapi na siyo misifa tu bila la maana,all in all hii ni Tanzania yetu sote,ila mkileta ubaguzi nakuapieni Arusha hamuifati Mwanza,maana hilo ndo hua linawaumiza,sema hamuwezi kuamini kwa sababu jamii ya Mwanza ni ya kistaarabu haina majivuno,kuleta maneno ya kusifia majengo,mala keepleft ndani ya mji kama napoona hapo juu ndugu mmoja kapiga picha na kupost hapa ni utoto tu au kutokuelewa maana maeneo yenu hayo tunayajua na muonekano wa picha siku zote utaona kama kitu kinatisha kumbe ni bla bla.fanyeni mkoa uwe na kipato kizuri kitaifa ndo mjisifie
Mwanza ipo tano bora ya umaskini je mnabisha
 
Ujamaa uliturudisha nyuma aisee
Ujamaa ulikua wa kipumbavu sana ukienda uzunguni hiyo mijengo ya 1930 huwezi amini nafikiri waingereza walikua wanataka kiifanya Arusha kama Capetown ushahidi ni ile Greek Club.
 
Ukikaa kwenye umaskini lazima utakuwa maskini..lazima uende kwa wenye uwezo ndio utapata fedha. Swali langu ni kuwa Moshi kwa wachaga na Arusha kupi kuko juu? au Kilimanjaro kwa wachaga na Dar ya Wazaramo kupi kuko juu?
Kiimanjaro imedumaa kwa umaskini kwa sababu wote wanaokaa ni wa aina moja mkuu. Kuna dada wa kimangi ametoka huko ameniambia kila mtu huko Kishumundu ana wazo la kukimbia.
Aise we jamaa umeongea pumba za hatari yaani unasema Moshi hapajaendelea au mbona hilo hata kichaa anajua Moshi kumeendelea mpaka mgombani lami maji ya bomba umeme majengo ya maana mashule yenye kila kitu mahotel ya kitalii mpaka mabank usiongee usichokijua.

Mountain Kilimanjaro umeipaisha moshi na Kahawa missionaries wachagga waliendelea miaka ya 1930
 
Kasema vipo ndani au jirani
Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
 
Ukikaa kwenye umaskini lazima utakuwa maskini..lazima uende kwa wenye uwezo ndio utapata fedha. Swali langu ni kuwa Moshi kwa wachaga na Arusha kupi kuko juu? au Kilimanjaro kwa wachaga na Dar ya Wazaramo kupi kuko juu?
Kiimanjaro imedumaa kwa umaskini kwa sababu wote wanaokaa ni wa aina moja mkuu. Kuna dada wa kimangi ametoka huko ameniambia kila mtu huko Kishumundu ana wazo la kukimbia.

nani amekwambia kuwa kilimanjaro imedumaa?
au unatishika na ile misitu na migomba ukiwa unapita road?jaribu siku kuingia uko migombani ujionee mahekalu ya kufa mtu.
moshi kuna kila aina huduma ya jamii kila kata ina shule 2 za sec,barabara za lami kila kitongoji,zahanati kila kijiji,huduma ya maji kila nyumba nk.
kingine wachaga hatuna desturi ya kuuza ardhi ndio maana unapoona ile misitu na migomba unaona kupo kama porini lakini sivyo.
arusha imejengwa na wachaga,dodoma imejengwa na wachaga popote walipo wachaga fahamu kuwa lazima maendeleo yawepo
 
Aise we jamaa umeongea pumba za hatari yaani unasema Moshi hapajaendelea au mbona hilo hata kichaa anajua Moshi kumeendelea mpaka mgombani lami maji ya bomba umeme majengo ya maana mashule yenye kila kitu mahotel ya kitalii mpaka mabank usiongee usichokijua.

Mountain Kilimanjaro umeipaisha moshi na Kahawa missionaries wachagga waliendelea miaka ya 1930
huyo jamaa anaongea vitu asivyo vijua inaonesha hajawahi kwenda kilimanjaro na kama alikwenda basi alikuwa anapita barabarani tu
 
hahahaaahaaa huwa najiuliza huo ujasiri wa kuiunderestimate Arusha wanautoa wapi nakosa jibu.
Man salute sana umenikumbusha hoooome....na hapo umetoa baadhi tu ya hotel chache zilizoko around, ukiamua kuzilist zote! Hiyo no nne nawakubali sana wazee wetu hawakutaka usoro wa mkoloni. Thanks for the useful thread...
 
nani amekwambia kuwa kilimanjaro imedumaa?
au unatishika na ile misitu na migomba ukiwa unapita road?jaribu siku kuingia uko migombani ujionee mahekalu ya kufa mtu.
moshi kuna kila aina huduma ya jamii kila kata ina shule 2 za sec,barabara za lami kila kitongoji,zahanati kila kijiji,huduma ya maji kila nyumba nk.
kingine wachaga hatuna desturi ya kuuza ardhi ndio maana unapoona ile misitu na migomba unaona kupo kama porini lakini sivyo.
arusha imejengwa na wachaga,dodoma imejengwa na wachaga popote walipo wachaga fahamu kuwa lazima maendeleo yawepo
Umekosea sana kufananisha wenyeji wa Arusha na Pwani. Binafsi nimehisi umetutukana na usirudie tena, wachaga kuuziwa viwanja si kosa na ni utamaduni uko kila mahali na nchi za mbele ipo. Na wachaga wasingenunua viwanja Ar kama wasingeona opportunity, ni kosa kubwa kusema Arusha imeendelezwa na wachaga huo ndio ukabila wenyewe, popote ulipo ukiamua unaweza kupaendeleza na Arusha imeendelea toka enzi rejea point no 4. Na kwa taarifa yako waarusha ndio walikuwa na tabia ya kuuza mashamba lakini siyo Meru. Mwisho nimalize kuwa wenyeji wa Arusha kwa asili nikimaanisha wamasai, wameru, waarusha, wairaq, watindiga na wasonjo wote ni wachapakazi huwezi kufananisha na hao uliowafananisha. Isifie Arusha lakini usiwaponde wenyeji ukawasifu wachaga.
 
Nimependa pia ni mkoa usio na shangwe la vigele gele uchwara.
 
Niliwa kuishi Arusha Kwa miaka kumi.. yaani Shule pamoja na maisha ya kawaida.. lakini ninaona kunabaadhi ya vitu umesahau kusema hapa...Vpi kuhusu viroba na pombe ya banana... yaan asbh tu machariii washajilock network haisomi ariifu! Vp kuhusu lile vumbi lenu mithili ya poda au unga wa mhogo.. na matobe yale ya mfinyanzi wakati wa masika inakuje hapo
....vp kuhusu bar na vilabu vya pombe kila corner
..yaan kila seehemu kuna bar.. vp kuhusu rate ya uzinifu na ufusika.. acha niishie hapo by now..
Dah kumbe miaka kumi iliyopita?
 
Back
Top Bottom