Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,239
- 8,089
Yaani unaongea kama huko Arusha hatujafika..kwa taarifa yako nimeishi hapo miaka mitatu hivyo huwezi kunidanganya kituArusha pa ukweli wewe...unalinganisha Arusha na huo mji unaotiririsha vinyesi barabarani?