Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Sawa gashoMtanyooka tu
Sawa gashoMtanyooka tu
Mmeshalewa banana huko kijijini arusha halafu mnatuletea pumba zenu hapa JF.Sawa gasho
hahaha wewe unacheza kweli njiro m20 upate kiwanja? miaka hii labda upate sehemu ya kaburi soro wewe alafu unajidai una zarau wakati roho inakuuma watu kusifia kwao? Kwani dhambi? hivi mfano mume wako akikusifia vile ni mrembo alafu mimi ninune nitakua nina akili nzuri kweli? Tuache sisi na jiji letu fara weweWadanganyeni masai huko porini arusha,
Nikweli arusha hauwezi pata kiwanja ukiwa na milion 50 ?
Na wakati ukiwa na milion 20 unapata kiwanja kizur hata kieneo cha njiro mnachoita uzunguni
Ok, tumekisikia..
Wafwate magasho wenzako huku hakuna nafasi na hyo jinsia yenu ya tatu
Naona umeshachanganyikiwa mapema, dozi kwanza naanza.Ok, tumekisikia..
Wafwate magasho wenzako huku hakuna nafasi na hyo jinsia yenu ya tatu
teh teh mkuu huyu mtu anajiaibisha tu hapa na pumba anazotemaWivu tu unamsumbua ameshachanganyikiwa kuona Geneva mbona ni ulaya kabisa wakati kwao bado umeme wa REA haujafika.
Mmeshachanganyikiwa na wala hata kijiji cha arusha chenyewe hamkifaham vizur.hahaha wewe unacheza kweli njiro m20 upate kiwanja? miaka hii labda upate sehemu ya kaburi soro wewe alafu unajidai una zarau wakati roho inakuuma watu kusifia kwao? Kwani dhambi? hivi mfano mume wako akikusifia vile ni mrembo alafu mimi ninune nitakua nina akili nzuri kweli? Tuache sisi na jiji letu fara wewe
hahaha wewe unacheza kweli njiro m20 upate kiwanja? miaka hii labda upate sehemu ya kaburi soro wewe alafu unajidai una zarau wakati roho inakuuma watu kusifia kwao? Kwani dhambi? hivi mfano mume wako akikusifia vile ni mrembo alafu mimi ninune nitakua nina akili nzuri kweli? Tuache sisi na jiji letu fara wewe
Mpaka kesho jiji la Arusha ndio linaongoza kwa usafi man bado linashikilia trophy.Mwaka 2015 Jiji la Arusha ndo lilikuwa Jiji safi kuliko yote Tanzania .....
Hizo pumba anazotema hapa ukimpa kuku wako lazima adanje.teh teh mkuu huyu mtu anajiaibisha tu hapa na pumba anazotema
Ndio mana nawaita washamba ninyi vijana wa kijijini arusha, mnapenda ushabiki kama nyumbu na hata kijiji cha arusha chenyewe mnachokaa hamkifaham vizur.Hahahaaa me mwenyewe nimeshangaa njiro gani hiyo ila huyo soro ni abnormal anaonekana kabisa ana uchungu na kiungulia juu ya watu wa kaskazini hataki hata kuwasikia
na akiona Arusha inavyopaa anakufa juzi aliweka picture za Mwanza na Dar humu lakini hakuna mtu alimwambia kitu at the same thread and time mwenye uzi anaweka picture za Arusha jamaa anasema ubaguzi mtu mwenye akili ya kawaida this is abnormal kabisa jamaa ni mchicha mwiba ameshaadhirika na psychology.
Ok, gasho..Mmeshalewa banana huko kijijini arusha halafu mnatuletea pumba zenu hapa JF.
Na bado
Hicho cha M10 kakinunue alafu uniite nije nione sawa? Vp lakini mbona unachefukwa ukiskia neno ARUSHA itakua kuna kitu kinakufanya uwe hivyo si bure pole lakini huyo kid ukimleta kwa baba zake chuga analelewa tu bila shida huwa hatukatai zamu zetuMmeshachanganyikiwa na wala hata kijiji cha arusha chenyewe hamkifaham vizur.
Nenda njiro kwa msola, nenda kule njiro veta mpya karibu na atomic unapata kiwanja hata million 10.
Acheni ushamba ninyi vijana wa arusha kwa kujikuza na story za kitoto.
Sio lazima usome nyuzi zinazohusu Arusha,utakufa kwa presha.Mmeshachanganyikiwa na wala hata kijiji cha arusha chenyewe hamkifaham vizur.
Nenda njiro kwa msola, nenda kule njiro veta mpya karibu na atomic unapata kiwanja hata million 10.
Acheni ushamba ninyi vijana wa arusha kwa kujikuza na story za kitoto.
Ok gashoHuu mchezo hauhitaji hasira kijana,
Tulia dawa ikuingie.
Huko arusha ni shambani tu, tena kesho nakuja kununua ndizi na parachichi huko shambani arusha.
Viwanja vipo hadi milioni 5, pale njiro sababu ya ushamba wenu nakupenda kusifia ujinga ndio mana hamjui kitu.Hicho cha M10 kakinunue alafu uniite nije nione sawa? Vp lakini mbona unachefukwa ukiskia neno ARUSHA itakua kuna kitu kinakufanya uwe hivyo si bure pole lakini huyo kid ukimleta kwa baba zake chuga analelewa tu bila shida huwa hatukatai zamu zetu
PROUDLY FROM CHUGA!!!!
Unaifaham presha wewe ngariba kama jina lako lilivyo.Sio lazima usome nyuzi zinazohusu Arusha,utakufa kwa presha.
Duh we dada adi unatia huruma, kisa umeskia huku kuna mabilionea ndio unajipitisha kila muda hahaha. Swali la kizushi hivi wewe umetokea mkoa gani naomba unijibu kwa uaminifu ili tuendelee mbele.Viwanja vipo hadi milioni 5, pale njiro sababu ya ushamba wenu nakupenda kusifia ujinga ndio mana hamjui kitu.
Tunajua lengo la nyuzi zote zinazongumzia arusha ila mshamba kama wewe hauwezi jua chochote.
Halafu niandalie mboga inaitwa mnafu nasikia mnalima sana hapo kijijini arusha.
CHUGA a. k. a CHURA noma sana
Povu la nini? Sio lazima kusoma.Unaifaham presha wewe ngariba kama jina lako lilivyo.
Mnakeketana hadi leo huko maporini arusha na mila zenu chafu za ukeketaji halafu mnaleta story zenu za kitoto za kibaguzi hapa JF.
Mtanyooka tu.