RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,836
- 129,746
Mkuu sitaacha kuusifia mkoa wangu hata siku moja... Wewe humu ikitajwa vibaya Range Rover au Dar lazima ufike kutetea, lakini ajabu hupendi wengine tusifie vyetu...
Mimi kusifia Arusha haiwi ndio kuulinganisha Mkoa wangu na sehemu nyingine..
Utafikiri ninamiliki....🙂🙂🙂🙂🙂🙂...Kwa dongo hilo nime surrender.....