Arusha halisi ilivyo na watu wake

Arusha halisi ilivyo na watu wake

Nilifikiri unasfia uzur wa Arusha kumbe hata na ubaya wake pia unausifia.. In that sanse tambua kua kila mkoa ni unique... na una uzur wake ambao huwez ona sehemu nyingine.. zaid sana unatakiwa utembee ili upunguze ushamba na mtazamo wa kizamanii..
Nenda sasa ivi ujionee
 
Aise we jamaa umeongea pumba za hatari yaani unasema Moshi hapajaendelea au mbona hilo hata kichaa anajua Moshi kumeendelea mpaka mgombani lami maji ya bomba umeme majengo ya maana mashule yenye kila kitu mahotel ya kitalii mpaka mabank usiongee usichokijua.

Mountain Kilimanjaro umeipaisha moshi na Kahawa missionaries wachagga waliendelea miaka ya 1930
Huyo mwache hajui maenendeleo anayoyaona huko mjini na mikoa mama dar nk ni wachagga wamewekeza huko sana na watu wa A town pia. Mwambie huyu ndezi siku wakileta za kututenga kikanda kaskazini tukirudi kuwekeza kwetu full mikoa hio itabaki kuwa magofu man. Hata rais wake aliyepita aliwahikiri. Ukienda sehemu ukimkosa mchaga hapo basi hapo hapafai kuishi. Sema wakaskazin hatutakagi usoro wa ukanda. Mi mchagga ila I always in love with A town dah ni sheeederh!!!
Kaskazini hatushindwagi kitu eroo! Sooon Mo town pameanza kufumka pia teh teh mtapasuka.
 
Umekosea sana kufananisha wenyeji wa Arusha na Pwani. Binafsi nimehisi umetutukana na usirudie tena, wachaga kuuziwa viwanja si kosa na ni utamaduni uko kila mahali na nchi za mbele ipo. Na wachaga wasingenunua viwanja Ar kama wasingeona opportunity, ni kosa kubwa kusema Arusha imeendelezwa na wachaga huo ndio ukabila wenyewe, popote ulipo ukiamua unaweza kupaendeleza na Arusha imeendelea toka enzi rejea point no 4. Na kwa taarifa yako waarusha ndio walikuwa na tabia ya kuuza mashamba lakini siyo Meru. Mwisho nimalize kuwa wenyeji wa Arusha kwa asili nikimaanisha wamasai, wameru, waarusha, wairaq, watindiga na wasonjo wote ni wachapakazi huwezi kufananisha na hao uliowafananisha. Isifie Arusha lakini usiwaponde wenyeji ukawasifu wachaga.
mkuu naomba unisamehe kuwafananisha wazawa wa arusha na watu wa pwani nilipitiwa tu.
lakini kiukweli wazawa wanauza sana ardhi kama pwani
 
Yaani hii ina trend sana watu wana wivu sana na elite empire
teh teh teh teh waache wavimbe wapasuke wanatamani tungekuwa wao na wao wangekuwa sisi lakini ndio hivyo wamechelewa waende mikoani kwao wakaanzishe wakaanzishe empire zao.
northern empire daima mbele
 
Huu uzi ni kwa Watu wa-Arusha....Ni mahususi kwa kutoa sifa za mji wetu...


Na wewe anzisha uzi kuisifia katavi yenu..
Acha zako wewe ..jisifie utaifa wako... acha kutuletea mambo ya kinyarwanda 1994...verypoor thinking!!
 
kuna ukweli asilimia 80% hiyo 20% umeongeza mbwembwe. hapo kwenye madawati hapana labda uniambie arusha mjini ila kama unaijua ngorongoro vizur, monduli, karatu na longido huku kote janga la madawati na ishu ya maabara lilikuwepo sana tu,
 
"1. Hati rasmi za uhuru wa Tanzania zilitiwa sahihi hapa na Uingereza mwaka 1961." Mkuu, wewe kiboko, mwaka 1961 palikuwa na nchi TANGANYIKA na sio hiyo uliyoisema. Tuwe wakweli jamani kwani uongo Mwenyezi Mungu hapendi.
 
Back
Top Bottom