Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,843
- 13,120
Una roho ngumu wapi wakati tunajua umekaliwa chapati???Ndoa ni kwa watu wenye roho ngumu nyie wenye roho za biskuti mtakuwa mnatuona sisi tunapeta tu.
Si unalalamika kila siku mkeo hataki hata kukupelekea maji bafuni???
Sasa hapo umeoa au umeolewa?
Kataa ndoa mzee!!!