Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
16,443
Reaction score
52,598
wanawake mnataka nini kwenye ndoa ili mtulie??
Screenshot_20260207-110053~2.jpg

sahii ungekuta ndugu wa jamaa wanandaa utaratibu wa mazishi.
 
Mitishamba! Mitishamba! Mitishamba!
Vijana tuwekeze sana kwenye mambo ya kimila na utamaduni kama dada zetu wanavyofanya. Bila hivyo tutateswa sana. Hawa viumbe hawana masikhara kwenye mambo ya kimila. Kabla ya kuoa inabidi kijana ukajitengeneze kwenye kisiwa fulani kipo Ziwa Tanganyika..
 
Back
Top Bottom