Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
Leo Arsenal wameniudhi sana, we wanted to keep the gap far more. but bado sisi ni vijogoo kwa almost miezi sita sasa.
??????
Leo Arsenal wameniudhi sana, we wanted to keep the gap far more. but bado sisi ni vijogoo kwa almost miezi sita sasa.
Poleni sana wakuu.Wenger ndio katufunga sio Man United.
Arshavin, Rosicky, and Djorou ....... wanafuatiwa na ramsey + walcot ... hawa jamaa sijui vipi
Arshavin, Rosicky, and Djorou ....... wanafuatiwa na ramsey + walcot ... hawa jamaa sijui vipi
Mkuu ni ngumu wala siwezi kuweka initiatives zozote ili kuipunguza!!!!!!!!Punguza hasira mkuu!
Wenger "We loose together and win together. I will not blame one player. If I make a Mistake I am sorry"
source. Twitter.
Wenger "We loose together and win together. I will not blame one player. If I make a Mistake I am sorry"
source. Twitter.
wenger hana wa kumlaumu zaidi ya yeye na arshvin
kila cku unaomba msamaha kwa kosa hilo hilo 2,halafu ujirekebishi,inaboa sana.mi nadhani masabiki wa Uingereza wampigie kelele ili ajiuzulu 2 manake mi naona kama mbinu zake zimeshakwisha.