Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,085
Mimi naamini bila Wenger Arsenal itafanya vizur. Tunahitaji kocha aliye strict! Hii game ilikuwa ya kushinda kabisa.Dogo katoka na speed yetu imeisha, hata wakina Van Persie wameishiwa nguvu.
Mimi naamini bila Wenger Arsenal itafanya vizur. Tunahitaji kocha aliye strict! Hii game ilikuwa ya kushinda kabisa.Dogo katoka na speed yetu imeisha, hata wakina Van Persie wameishiwa nguvu.
Kichapo cha leo ni cha kujitakia jirani....Wenger kamtoa Chamberlain ambaye ndiye alikuwa anawechezesha mbele anamuingiza galasa ASHA BOKO na Mungu asivyomficha mnafiki Arshavin katufungisha kwa kumpasia Welbeck.....
Mimi naamini bila Wenger Arsenal itafanya vizur. Tunahitaji kocha aliye strict! Hii game ilikuwa ya kushinda kabisa.
Mimi naamini bila Wenger Arsenal itafanya vizur. Tunahitaji kocha aliye strict! Hii game ilikuwa ya kushinda kabisa.
Huyo dogo si alikuwa toka mwanzoni ilikuwaje mbona hakufanya kitu,Wenger kafanya changes baada ya kuona uwanjani kuna nini na watacheza vipi,Hata angekuwepo still mlikuwa hampo vizuri mkuu inabidi tukubali tu

Wenger ni mwehu kweli jamani......dah!
Huyo dogo si alikuwa toka mwanzoni ilikuwaje mbona hakufanya kitu,Wenger kafanya changes baada ya kuona uwanjani kuna nini na watacheza vipi,Hata angekuwepo still mlikuwa hampo vizuri mkuu inabidi tukubali tu
Mkuu umetimiza msemo wako uliosema kwamba mtatufunga leo??
Kama umeangalia mpira vizuri AOC ndiye alikuwa anachezesha timu 1st Halfu na hata kabla ya kutoka,na ndiye aliyetoa pasi kwa RVP akafunga goli la kusawazisha.....Baada ya yeye kutoka mbele kulipooza,krosi kutoka upande wa kushoto hazikuwepo tena....Mbadala wake ambaye ni Arshavin akawa anakimbiakimbia tu hovyo uwanjani na kuona haitoshi akatoa pasi kwa Welbeck ambaye bila ajizi alitufunga goli la pili.....Huyo dogo si alikuwa toka mwanzoni ilikuwaje mbona hakufanya kitu,Wenger kafanya changes baada ya kuona uwanjani kuna nini na watacheza vipi,Hata angekuwepo still mlikuwa hampo vizuri mkuu inabidi tukubali tu
Kama umeangalia mpira vizuri AOC ndiye alikuwa anachezesha timu 1st Halfu na hata kabla ya kutoka,na ndiye aliyetoa pasi kwa RVP akafunga goli la kusawazisha.....Baada ya yeye kutoka mbele kulipooza,krosi kutoka upande wa kushoto hazikuwepo tena....Mbadala wake ambaye ni Arshavin akawa anakimbiakimbia tu hovyo uwanjani na kuona haitoshi akatoa pasi kwa Welbeck ambaye bila ajizi alitufunga goli la pili.....
Kama umeangalia vizuri wakati dogo AOC natoka mashabiki walikuwa wakizomea na kumtukana AW,RVP alionekana kuhamaki......Ni bora angemtoa Walcott na si Alex Oxlade-Chamberlain.....
Kila mtu ameshangazwa na sub hii ya Wenger
Pamoja na kuwa mnamlaumu AW kumtoa AOC but Manu walitakiwa wawe wanaongoza 4-0 hadi mapumziko.Ukweli Djorou,Walcott,Ramsey,Arshavin,Rosisky,Chamakh ni mizigo.Yani sikuamini Giggs na Carick ndio walikuwa wanawakimbiza vile,muda si mrefu mtaanza kuwa kama Liverpool kugombania nafasi ya Europa Cup