Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
What a miss.....
Full Time
Arsenal 1-2 Man Utd
Kaa pembeni wewe, ile slogan ya together we stand no longer holds!!!!
Makubwa!!!!...............Loser anamcheka Loser mwenzie.......lol
Makubwa!!!!...............Loser anamcheka Loser mwenzie.......lol
Dogo katoka na speed yetu imeisha, hata wakina Van Persie wameishiwa nguvu.
Kichapo cha leo ni cha kujitakia jirani....Wenger kamtoa Chamberlain ambaye ndiye alikuwa anawechezesha mbele anamuingiza galasa ASHA BOKO na Mungu asivyomficha mnafiki Arshavin katufungisha kwa kumpasia Welbeck.....hahahaha! Keep looking up jirani, na pole sana kwa kichapo.
Jaman big 3 tutaingia kwa hal hii