Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 511
Wala sina uchungu wa hilo goli kama kocha kachoka kazi aende ufaransa akafanye biashara ya kuuza perfume.
Punguza hasira Mkuu, muda bado!
Wala sina uchungu wa hilo goli kama kocha kachoka kazi aende ufaransa akafanye biashara ya kuuza perfume.
LA PILI hilo!!! hahahaha!
Punguza hasira Mkuu, muda bado!
Ona Wenger ...............aaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
Arshavin wa nini?
wenger mseng* anafanya sub gani mbaya hiyo
Washabiki wanamtukana Wenger ha ha ha ha ha
Wenga hana akili. Kwanini kamtoa The OX?
Mashabiki wanazomea.......Hawataki Chamberlain atoke
Hata RVP anashangaa
Kamtoa chamberline, hivi huyu Wenger amelogwa????? Huyu mzee bogus sana!!!!
....ebo? huyu Arsene Wenger naye vipi? Alex Chamberlain ndiye aliyekuwa anasaidia kuliko Theo!
hahahaha....sasa nimeamini huyu manager kweli anao ule ugonjwa wa wazungu vizee!
RVP kashangaa sana AOC kutolewa
huyu wenger anafikiria nini.. kufanya ile sub
Wenger hataki tushinde. na badilisha jina sasa kaniudhi sana
Yaani kamtoa dogo OX anaingiza hili RUSI?????
Sasa naelewa kwanini watu wanamlaumu Wenger
huyu coach naona amepanga kabla ya mpira kubadili wachezaji sio kwa mpira unavyokwenda sab zake zote sio za uhakika
Yaani leo kila mtu amemshangaa AW kwa upumbavu alioufanya wa kumtoa AOC na kumuingiza ASHA BOKO....
Anakera sana huyu mzee
Mkuu ule ushauri wako wa kwamba nibadilisha jina naukamilisha leo. Mzee mpumbavu sana.
...haya, nasubiria aje na vijisababu vyake vya ooohhh....refa, mara majeruhi, mara quality and potential is there...
hovyo kabisa.
huyu mzee mgonjwa sasa, si bure....ugonjwa utokanao na umri unaathiri maamuzi yake.
Kaa pembeni wewe, ile slogan ya together we stand no longer holds!!!!In Wenger You Trust! hahahahahaha, losers!!
Hyanani natamani kuzivunja sheria za hapa nitukaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hadi tension iishe!!!!
Ujinga mkuu, siwezi kupunguza hasira kabisa.
In Wenger You Trust! hahahahahaha, losers!!
Makubwa!!!!...............Loser anamcheka Loser mwenzie.......lolIn Wenger You Trust! hahahahahaha, losers!!