Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

dah ..... maumivu yamepoa though bado yapo kwa mbaaaali ....
 
Pole sana, naona Prof Nutty amekuboa mpaka umebadili jina! Lakini naona hilo jina ulilochukua sasa nalo utabadili muda si mrefu Man City wakija kuchukua mchezaji wao atakapokuwa tayari....lol.

Ha ha ha dogo tunampiga bonge la buy-out clause.
 
Ha ha ha mkuu leo Wenger kanitolea kali sana. Siwezi kuwakilisha jina lake kabisa.

Mara nyingi huwa najua anachelewa kufanya mabadiliko kwa vile anategemea maajabu kutoka kwa wachezaji wake hata kama dalili zinaonesha kunaitajika madiliko hili tupate ushindi.

Lakini leo vijana wamechachamaa wanafanya mashambulizi kutafuta ushindi, yeye anaenda kumtoa kiongozi wa mashambulizi anale zigo lake na kuwakatisha nguvu wachezaji wote. Kama nia yake kweli ilikuwa "captain wa Russia" aingie kulikuwa na wachezaji wa kuwatoa kama Rosicky, Ramsey au Walcott.

Hasira zangu leo zilifika mwisho mkuu.



Labda na hiyo signature yako utoe pia, maana ni kama bado unaamini katika falsafa zake....hahaha!
 
Mwacheni Prof afanye kazi yake nyie mnaingilia ingilia mlifundisha timu gani ikashinda? Makosa yanaweza kutokea mbona leo RVP kakosa sitter tena kwa mguu wake wa kushoto ambao ni leathal? Mimi nilipomwona refa wa leo nilijua tu kutakuwa na kazi kubwa ni refa huyu huyu alitoa penalty kwa opposition wakati free kick ilipopigwa kwa Gunners leo kaminya wakati Evra kazuia shuti kwa mikono miwili tena kwenye open play, Nani alitakiwa ale red card its so pathetic .... ..... ..... ni kweli Djarou na Arshavin hata Rosicky nae wanaboa lakini work rate yao ndiyo inayofanya wanapata mechi. Ramsey atapumnzika siku si nyingi mwenye namba anarudi. Msione vinaelea timu zote wanafahamu wazi hizi mechi zilizobaki itakuwa kazi kubwa. Wenzetu wana rupia sisi tuna wachezaji kama mnabisha angalieni Mancs mchezaji ambaye alikuwa ale red lakini akabaki uwanjani na wakapewa penalty hakuna coincidence ni brown envelopes.

Tusubiri technology ianze kama kwenye cricket na Tennis bila hivyo Mancs watashindana na mafioso wenzao.



Kilisikika kilio kikubwa kutoka kwa mzee wa kulialia, na kinaendelea kama kawaida!
 
Kweli Wacha kwa mambo NANI aliyomfanyia Djorou alistahili red card,kuna jamaa anasema Djorou alimwekea kibao NANI kimeandikwa "PITA HUKU"
 
Kweli Wacha kwa mambo NANI aliyomfanyia Djorou alistahili red card,kuna jamaa anasema Djorou alimwekea kibao NANI kimeandikwa "PITA HUKU"
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAAAAA! Acha vurugu kijana.
 
Me niliwahi kuwaambia wana darisalama wa landani hamieni kwenye basi kubwa kibajaji hicho hamuenei,mnaona sasa mwafa kwa kukosa hewa tehe tehe tehe tehe tehe tehe....
 
Wacha unafiki wewe, umeonekana pale Emirates ukimzomea Wenger kwamba hajui analofanya halafu hapa JF unajifanya kumtetea!!!!
Wacha bana sometimes anakuwa kama member mmoja anaitwa humu JF anaitwa Ritz......


​Sorry kiongozi Wacha kama nimekukwaza....
 
Back
Top Bottom