Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Mimi naona wakuu mngeamua kwa ujasiri mkubwa kushabikia mtibwa sugar manake marazi ya sukari huanza kwa mishtuko ya hafla hafla kama mnayoipata washabiki wa gunnerz
Acha fujo wewe, Naona Adebayor anawatoa msimu na jeuri mmepata.