Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Against Haram Football
 

Attachments

  • 20260531_023302.jpg
    20260531_023302.jpg
    341.6 KB · Views: 12
Tatizo sio Arsenal
Tatizo sio Arteta
Tatizo sio Uongozi au wamiliki
Tatizo ni mashabiki wa Arsenal - Dilusional
_Evra
 
Game nzuri, vijana wamejitahidi

Japo muamuzi hakua fair kabisa..
Angewapa Penati PSG Saka alishika, na lile Goli la Arsenal Trosand alianza kwa kushika ,na Yule Beki aliemkwatua Namba saba wa PSG na kusababisha Penati alitakiwa njano ambayo ingepelekea red card..

Wapi ambapo refa amewabeba PSG kama alivo wabeba ninyi.

Au unasemea ile ya Mendez na Madueke.? Ambayo VAR iliporusishia Madueke ndo alisababisha Faulo na alitakiwa kadi refa akawabeba.
 
Ndo hakufunga sasa, nilivyoona Gabriel anaenda kuipiga nikajua hii inaenda juu.
Penalty ya 5 imejaa presha haswa inahitaji fundi na mzoefu haswa.
Huenda training alikuwa anapata lakini still Gabriel kwenye tuta anatakiwa kuwa mtu wa 9 au 10 huko
All in all still ni best defender kwa sasa worldwide
Vp penalty ya eze, ulivoona anaenda kupiga ulijua nn?
 
Gunners mnachukiwa kinoma worldwide, jana ni kama sherehe mmekosa ubingwa kubabake ...... ningekuwa mnywaji jana ningerudi home nikiwa tila lila, sio kwa ile furaha !!

All in all, hii haiwaondolei heshima kwa mlichokifanya msimu huu , kwanza mmechukua EPL baaada ya miaka 20+....

Mmefanikiwa kufika final ya ulaya bila kupoteza na ku- concede goli chache hio ni pride pia !
Ili m-dominate ulaya kikosi chenu kinahitaji maingizo machache ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom