Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,915
- 75,760
Kompany? Aliyeshusha timu daraja?hansi flick au kompany.. makocha wa calibre izo wangefaa zaidi.
Flick humchomoi pale
Kompany? Aliyeshusha timu daraja?hansi flick au kompany.. makocha wa calibre izo wangefaa zaidi.
Leo Tunabeba UEFA ya kwanza, nyumbu wote kimya
Twende kwenye uzi kule, arsenal bingwa wa eplNishaiona hiyo, nipo na upelelezi wa The caged swordsman. Pole kwa yaliyokupata leo.
#COYG
Psg anakufa chuma mbili
Yaani Martinell ndio mchezaji wako wa kukushindia UEFA? Mmelogwa kenge nyie hamko sawa.Hii mechi anakuja kuimaliza mnyama Martinelli kipindi cha pili.
Nitakutafuta kesho kwenye hiyo mitaa yetu ngoja nilale sasa.Twende kwenye uzi kule, arsenal bingwa wa epl
Penalty anakosa yeyote yule ila kumpa Gabriel penalty ya 5!... Gabriel alitakiwa awe kwenye 8 or 9 huko kwenye list.Penati anakosa yoyote yule sio beki au mshambuliaji
aaaaa!!! Tuliaaaa!!!😄😃😃 Kimewalamba
Vp kama angefunga?Bado nawaza ilikuaje Gabriel kapiga last penalty, au arsenal haikujiandaa na penalty kick?? Arsenal angechukua hii asingekuwa na deni kabisa na fans wake
Dogo kupita njia ya makumbusho, kusi kufanye ujione kichwa majiKwahy mmekazwa?
Ndo hakufunga sasa, nilivyoona Gabriel anaenda kuipiga nikajua hii inaenda juu.Vp kama angefunga?