Wamefika fainali kwa kupitia njia nyepesi huwezi kulinganisha na PSG Hilo walipaswa wamshukuru MunguGunners mnachukiwa kinoma worldwide, jana ni kama sherehe mmekosa ubingwa kubabake ...... ningekuwa mnywaji jana ningerudi home nikiwa tila lila, sio kwa ile furaha !!
All in all, hii haiwaondolei heshima kwa mlichokifanya msimu huu , kwanza mmechukua EPL baaada ya miaka 20+....
Mmefanikiwa kufika final ya ulaya bila kupoteza na ku- concede goli chache hio ni pride pia !
Ili m-dominate ulaya kikosi chenu kinahitaji maingizo machache ...