Lloyd Munroe
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 14,259
- 35,534
Rasta wa kwanza asiye na akili nimemuona jana.
Kwani Alonso kocha mbaya?Hii yote ni kwavile unaamini una kocha mzuri sana?
Kipindi walivyokuwa wanacheza sexy football mbona walikuwa hawafiki mbali?
fuentte unaelewa sasa nikisema nyinyi ni wanafiki?Mnasema....
.......Mmecheza mpira mzuri kwa zaidi ya miaka 20??Arsenal hamjawahi kucheza mpira mzuri .
Huo mpira mzuri mliucheza msimu upi ??n Mliucheza chini ya kocha gani??
Matusi mengi sana mwanetuKwani Alonso kocha mbaya?
Tutakuja ipata tu, waboreshe kikosiPoleni sana ndugu zangu, naona UEFA champions league bado ni changamoto iliyokosa utatuzi
Hii ishu yakumfikishia Arteta.Vitinha, joao na Ruiz ....Waliwafundisha namna mpira unachezwa, nyie mmepata goli la mapema mkakimbilia kuzuia....mkapaliwa... sidhan kama mechi nzima mlipata on target 4, alafu umiliki hauzidi 30% what a shame!
Kikosi mkirekebisha baadhi ya maeneo mfano kule LW, then AM mzuri mwenye jicho kali the likes of akina cherki, bruno, madders n.k then kule namba 2, Timber ni injury atafutiwe msaidizi...White baada ya ile injury hakuwahi kuwa yule tena.... alafu mmnalize na hapo namba tisa mkatili jitu kama haaland , alvarez n.k
Approach aliyotumia Arteta mi nimeona kama ilikua sahihi, ni mistake tu kidogo iliyofanyika approach ilikua ilipe, wangesema watunishiane misuli Arsenal wangepasuka nyingi tu mana PSG kwa swala la Transition wapo vizur sana aisee.Arteta jana kaogopa mnoo, mwishowe katuletea fedheha..
Wale die hard fans wa zubi mko wapi?
Pole sana mkuu Castr
Ubaya wa Alonso ni upi?Matusi mengi sana mwanetu
Issue sio kuwa wachezaji mfumo wa Arterta uko hivyo hata aletewe nani, gyokerez ni mchezaji mzuri ndio top scorer wa team yake ya Taifa na hata alivyokuwa sporting Lisbon alikuwa anafunga for fun lakini aina ya mpira wa Arteta ulivyo utegemei striker ndio maana unamuona si chochoteVitinha, joao na Ruiz ....Waliwafundisha namna mpira unachezwa, nyie mmepata goli la mapema mkakimbilia kuzuia....mkapaliwa... sidhan kama mechi nzima mlipata on target 4, alafu umiliki hauzidi 30% what a shame!
Kikosi mkirekebisha baadhi ya maeneo mfano kule LW, then AM mzuri mwenye jicho kali the likes of akina cherki, bruno, madders n.k then kule namba 2, Timber ni injury atafutiwe msaidizi...White baada ya ile injury hakuwahi kuwa yule tena.... alafu mmnalize na hapo namba tisa mkatili jitu kama haaland , alvarez n.k
Ndiyo sababu nikajibu kwa shabiki asiye wa Arsenal hakuna msimu ambao Arsenal ilikua nzuri. Kwangu mimi Arsenal ya Arteta ambayo ilikua exciting kuangalia ni ya 22/23 na 23/24. Il in terms of efficiency Arsenal ya msimu huu ilikua efficient zaidi.Pole sana mkuu Castr
Kila mtu ana mtizamo wake kulingana na jinsi anavyouchukulia mpira wa miguu. Kwangu mimi kabla ya takwimu za magoli, assist na mataji hazijaanza kutumika kama kielelezo cha ubora wa timu, mwalimu au mchezaji, nilipenda zaidi burudani inayoambatana na utawala wa mchezo.
Nitaendelea tena kusimamia point yangu kwamba Arsena ya msimu huu imepungua ubora kwenye vigezo viwili kama utawala wa mchezo na mpira wa kuburudisha ukilinganisha na arsenal ya misimu miwili nyuma, Lakini simlaumu sana Arteta sababu ya presha ya mataji anayopata toka kwenu mashabiki.
Issue sio kuwa wachezaji mfumo wa Arterta uko hivyo hata aletewe nani, gyokerez ni mchezaji mzuri ndio top scorer wa team yake ya Taifa na hata alivyokuwa sporting Lisbon alikuwa anafunga for fun lakini aina ya mpira wa Arteta ulivyo utegemei striker ndio maana unamuona si chochote
Man utd alinileta Eric Cantona tena kwa kusoma historia yake kwenye magazeti na muonekano wake kwenye picha mnato, ila sikuwahi kushuhudia akicheza mechi hata moja.Ndiyo sababu nikajibu kwa shabiki asiye wa Arsenal hakuna msimu ambao Arsenal ilikua nzuri. Kwangu mimi Arsenal ya Arteta ambayo ilikua exciting kuangalia ni ya 22/23 na 23/24. Il in terms of efficiency Arsenal ya msimu huu ilikua efficient zaidi.
Hua siutaji msimu wa 24/25 kwakua ule msimu hatukua na plan na kombe lolote tuliingia tukiwa hovyo. Hata second position ilikua overachieving.
Kama hiyo ni namna yako ya kushabikia mpira sielewi ilikuaje ukanasa United. M