The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 247
- 285
Acheni kupotosha watu, na inaonesha nyie sio wafuatiliaji wa kina wa Ligi Uingereza, ni wakurupukaji tu hamjui hamna data zozote watoto wa elfu10, Mimi ni Liverpool fan, lakini nikupe taarifa hii...Mmevunja rekodi nyingine ya kuchukua ubingwa ila hamjatoa mchezaji bora wa ligi sababu ya magoli ya kona wadau. Big Up
Klopp na Liverpool yake walichukua ubingwa Epl msimu wa 2019/20 baada miaka 30 na Mchezaji Bora wa msimu wa Ligi alikuwa kiungo mchezeshaji wa Mancity Kevin De Bruyne, hebu kabla kuongea muwe mnakuja na taarifa Sahihi za uhakika.