Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,882
- 16,469
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee ila Admin wa Chelsea kwenye Insta page yao ana roho mbaya sana aiseee, sio kwa hayo masimango aliyopost baada ya Arsenyau kukosa Uefa.Uefa not for fool
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee ila Admin wa Chelsea kwenye Insta page yao ana roho mbaya sana aiseee, sio kwa hayo masimango aliyopost baada ya Arsenyau kukosa Uefa.Uefa not for fool
Tujipange tenaPenati anakosa yoyote yule sio beki au mshambuliaji
😄😃😃 Kimewalamba
Ni sawa tu. Kikubwa wote tuwe na wachezaji 11Msimu ujao hamna kupangwa na vibonde kina sporting CP.
Tumchukue Slot au unasemaje?kwa mpira huu wa msimu huu wote pamoja na huu wa leo dhidi ya PSG nilio ushuhudia.. timu itaendelea kutawala labda EPL tu lakini sio UCL.
ni vile tu makocha wengi wazuri wapo na timu zao la sivyo arteta ingebidi ki staarabu tu abwage manyanga.
arsenal ina squad nzuri na pana ,kitu imekosa kwa sasa ni kocha na hasa wa kuweka mpira chini na sio mda wote wee unapiga ndege tu utafkiri goli liko juu!
Hii sekta kila mtu anajiona anajua mkuu kuliko ambao ni pro, hatari sana.Tumchukue Slot au unasemaje?
Tumchukue Slot au unasemaje?
Mkuu naangalia my journey to you, kina sword wielderMtoto hala
Kompany? Aliyeshusha timu daraja?hansi flick au kompany.. makocha wa calibre izo wangefaa zaidi.
Leo Tunabeba UEFA ya kwanza, nyumbu wote kimya
Twende kwenye uzi kule, arsenal bingwa wa eplNishaiona hiyo, nipo na upelelezi wa The caged swordsman. Pole kwa yaliyokupata leo.