Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hii timu nzima ya man utd wachezaji haswa ni watatu tu au lbd wanne.. wengi ni wakuuzwa ama waanzie benchi so kabla ya kubadili makocha.. waangalie kwanza na wanaohusika na sajili za wachezaji.
 
Kusema Man City Wana defence nzuri au nyumbu walikuwa hawajui wanachokifanya .
Kulikoni mkuu
Nyumbu hawajui wanachofanya.

City ameruhusu magoli katika mechi anazoshinda tena akiwa full.

So akiwa na red angalau tunatarajia aonekane aggressive kutafuta matokeo ila alikua hovyo.

Hii ni juu yao na kocha wao. Ingawa defense yao imeimarika mechi mbili za mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom