Pacha nime simama sielewi hapa, viva arsenal 🔥Ila maadui wa Arsenal mpo wengi, yote ndoo ya epl inawauma 😹
Mi nakunywa brutal naona za uchachu zinanichefua 😥Pacha nime simama sielewi hapa, viva arsenal 🔥
Unampaje beki penalty ya mwisho?!Haya mtasubiria miaka 20 mingine ndipo mje mcheze tena final ya UCL .
Watch out boy i mean to play the final not to win it.
au sioAt this point tunacheza na average team ya PSG.
Our players haven't realized it yet
kapige wwUnampaje beki penalty ya mwisho?!
Ulidoubt bure tu. Arsenal hatuna kipa wa penatiPSG hawana kipa pale
angefunga ungekuja na mapambio kumsifia, mashabiki bhana 😀Unampaje beki penalty ya mwisho?!
Gab hajawahi piga penalty, ya mwisho inapresha sana..bora ukose za mwanzo kuliko mwishokapige ww
We umesikia wapi timu zinashinda kisa haki?Sema wanangu hata msiumie njia mliopita kufika final ilikuwa nyepesi sana , PSG kapita njia ngumu sanaa so alikuwa na haki zaidi.
View attachment 3597802View attachment 3597803