Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Imetosha sasa watwasi hivi mpaka sasa arteta tangu ajiunge arsenal ana vikombe vingapi
 
Attachments

  • Screenshot_20260521_220440_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260521_220440_WhatsApp.jpg
    40.1 KB · Views: 13
Halafu ndio nilitaka nikuite nikuulize maana wewe ndio unazijua ID zake.

Ndio huyohuyo Busu la Kenge na kuna ID nyingine nimeisahau ameweka Avatar ya Kipepe alikuwa ananisumbua nayo sana kila siku kunitania!

Mimi nina mpango wa kumuoa Dada yake ndio maana namfuatilia sana Busu la Kenge , nitamchukua hivyo hivyo hata akiwa kichwani loose Nut

Hilo LiNyangwisi Kuna kipindi nilikuwa naona alikuwa anpenda kukutania kistaarabu , ila mimi ndio kiboko yake napenda kumkera juzi nilimkera mpaka likatukana kwa hasira
 
Yule muhuni computerarsenal yuko wapi mammae maana tulitibuana sana humu jukwaani na kauli zake za Arteta Out
Hahahhaaha Kummmke computer arsenal huyu mtu umenikumbusha mbali sana, kipindi kina saka na smith rowe ndio wanaanza kuaminika, jamaa alikuwa anajua kulalamika huyu
 
Kuchukua ubingwa kwa point 82 ni sawa na kujiona kipanga kwenye darasa la vilaza. Fainali ya UCL naiona aibu kubwa sana inakuja kwa Gunners. Msimu wa 2018/19 ndo ilikua na title battle Bora kabisa. Point 97 na bado tukakosa ubingwa, sitasahau aisee.
 
Msimu huu mmeshindwa nini kufika hizo pointi 97?
 
Kuchukua ubingwa kwa point 82 ni sawa na kujiona kipanga kwenye darasa la vilaza. Fainali ya UCL naiona aibu kubwa sana inakuja kwa Gunners. Msimu wa 2018/19 ndo ilikua na title battle Bora kabisa. Point 97 na bado tukakosa ubingwa, sitasahau aisee.
When it comes to Arsenal, akili zenu zinageuka vima.

Kiande kinajua ligi imeshaisha. Kuna game Moja imebaki.

Pia, kauli hizi zilikuwa wapi last season wakati Liver anamaliza ligi kwa alama 85?

Tunaendelea kukusanya mafile, Uzi unakuja after game vs PSG
 
Ooooh sis arsenal tukibeba ubingwa utaona ,dunia nzima itatetemeka .....tunamashabiki wengi sana ....kummmmmke siku ya pili sasa tumeshasahau hata yao hayajui yanafanya nini mamamaeeeeeee h
Sielewi kwanini mtu anaweza kua mjinga kwa makusudi.
Uzi wa City una member mmoja tu hua anapost, alivyoacha kupost uzi hakuna mtu aliyeingia mwaka mzima.

Mwenzio Herzargo alichoka kujisemesha mwenyewe akaamua kuukimbia Uzi😅
Hii ilikua kumkumbusha Herzog arudi kupost kwakua uzi unakufa.

🤣🤣

Some life challenges tu kaka mkubwa ndio zinatupoteza humu, though na admit kwamba kujisemesha mwenyewe pia inakata stimu pakubwa.
Herzogg akakubali kweli amechoka kujisemesha.

Kisha anatokea mtu mmoja anatafuta relevance kwa kuandika nonstop kwenye uzi wa mabingwa
 
Huwezi amini nina zaidi ya miezi miwili sijaingia jukwaa letu kisa kuwasagia kunguni hawa jamaa ila bahati haikuwa upande wetu. Turudi kwetu tukamjadili Carrick wetu kama atatuondolea hii fedhea ya arsenal kuchukua ubingwa mkuu
It's just a click away kuhama uzi mmoja na mwingine. Haujaingia uzi wenu kwakua mmepambania kutoka relegation zone, mmetafuta mchawi, mmefukuza kocha hata baada ya kuanza kushinda hamna aliyekua anaamini.

You can't mask weakness kwa kulaumu
 
Ooooh sis arsenal tukibeba ubingwa utaona ,dunia nzima itatetemeka .....tunamashabiki wengi sana ....kummmmmke siku ya pili sasa tumeshasahau hata yao hayajui yanafanya nini mamamaeeeeeee h
Ungesahau usingekuwepo hapa kubwabwaja.

Huwezi kulinganisha Arsenal na hiko kikundi cha wanywa gongo.

Arsenal ni kubwa mara milioni ya Man shitty.
 
Babu nawe mshika mitutu 😍
Kitambo ni Gunner, huoni hata ndoa yangu na bibi yenu imetulia kutokana na uwezo wa uvumilivu 😜
Alooo nilikuwa navaa jezi huku nasimangwa kkoo. 😹😹😹
Vaa kwa raha zako, ni muda wetu wa kutamba sasa 💪
Sasa watakoma week nzima hii nawavalia mpk wajute. Hapa naenda kununua na khanga nishone gauni kabisaa wanune 😹😹
Hahaha....utakuwa umetisha mjukuu 😊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom