Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huwezi amini nina zaidi ya miezi miwili sijaingia jukwaa letu kisa kuwasagia kunguni hawa jamaa ila bahati haikuwa upande wetu. Turudi kwetu tukamjadili Carrick wetu kama atatuondolea hii fedhea ya arsenal kuchukua ubingwa mkuu
It's just a click away kuhama uzi mmoja na mwingine. Haujaingia uzi wenu kwakua mmepambania kutoka relegation zone, mmetafuta mchawi, mmefukuza kocha hata baada ya kuanza kushinda hamna aliyekua anaamini.

You can't mask weakness kwa kulaumu
 
Ooooh sis arsenal tukibeba ubingwa utaona ,dunia nzima itatetemeka .....tunamashabiki wengi sana ....kummmmmke siku ya pili sasa tumeshasahau hata yao hayajui yanafanya nini mamamaeeeeeee h
Ungesahau usingekuwepo hapa kubwabwaja.

Huwezi kulinganisha Arsenal na hiko kikundi cha wanywa gongo.

Arsenal ni kubwa mara milioni ya Man shitty.
 
Babu nawe mshika mitutu 😍
Kitambo ni Gunner, huoni hata ndoa yangu na bibi yenu imetulia kutokana na uwezo wa uvumilivu 😜
Alooo nilikuwa navaa jezi huku nasimangwa kkoo. 😹😹😹
Vaa kwa raha zako, ni muda wetu wa kutamba sasa 💪
Sasa watakoma week nzima hii nawavalia mpk wajute. Hapa naenda kununua na khanga nishone gauni kabisaa wanune 😹😹
Hahaha....utakuwa umetisha mjukuu 😊
 
False hopers aka bottlers aka Arsenyau aka sijui nini na nini.
Majina mengi walituita ila ArsenalNdoo au Asendooo wanatubania kutuita. Kina Labyrinth 84 na Flano waje basi watuite Asendoo wafurahi.
Naam kuanzia sasa hamtaitwa false hopers tena Bali champions.
Nadhani nyinyi ndo mashabiki bora zaidi kuliko mashabiki wa team yoyote Ile , nyinyi ni real true fans wa arsenal.
Miaka 22 mmekuwa loyal fans wa arsenal pasipo uwepo wa kombe lolote kubwa (EPL & UEFA) na mkaendelea kuamini na kuisapoti Arsenal.
YOU DESERVE THIS WAZEEE NYINYI NI CHAMPIONS!
 
Tuwape maua yao jamaa wavumilivu sana hawa. Kuanzia sasa waajiri watakuwa wanatoa kipaumbele kwa mashabiki wa arsenal kwenye kuajiri sababu ya uvumilivu wao
 
Naam kuanzia sasa hamtaitwa false hopers tena Bali champions.
Nadhani nyinyi ndo mashabiki bora zaidi kuliko mashabiki wa team yoyote Ile , nyinyi ni real true fans wa arsenal.
Miaka 22 mmekuwa loyal fans wa arsenal pasipo uwepo wa kombe lolote kubwa (EPL & UEFA) na mkaendelea kuamini na kuisapoti Arsenal.
YOU DESERVE THIS WAZEEE NYINYI NI CHAMPIONS!
Sio nyinyi, sema "sisi".

Mpo wengi humu mlohamia mitaa jirani kujiliaaza. Kimtaani msharudi rasmi kambini, ila humu ndo mnajifanya bado.
 
Naam kuanzia sasa hamtaitwa false hopers tena Bali champions.
Nadhani nyinyi ndo mashabiki bora zaidi kuliko mashabiki wa team yoyote Ile , nyinyi ni real true fans wa arsenal.
Miaka 22 mmekuwa loyal fans wa arsenal pasipo uwepo wa kombe lolote kubwa (EPL & UEFA) na mkaendelea kuamini na kuisapoti Arsenal.
YOU DESERVE THIS WAZEEE NYINYI NI CHAMPIONS!
Mkuu, umeongea jambo la maana sana yaani ukiwa shabiki wa timu kama Arsenal yakupasa kutokata tamaa.

Nilipokua pale London mwaka 2004 niliona jinsi Invicibles walivyonyakua kombe lile pale Highbury Islington nahodha akiwa Patrick Vieira.

Lakini kuna kitu Arsene Wenger alifanya nacho ni kuishawishi bodi kuingia benki na kuchukua mkopo wa milioni 300 kujenga uwanja mpya wa Emirates.

Lakini Arsenal ikayumba uwanjani huku Wenger akishindwa kusajili wachezaji wa maana akawa akisajili wachezaji kwa mkopo. Wachezaji wengine walikuwa na kiwango cha chini sana akina Yaya Sanogo, yule beki wa hovyo alieitwa Schuilachi na wengine.

Angalieni yanowapata Tottenham Hotspurs wameiga kuchukua mkopo na sasa watishiwa kushuka daraja.

Hivyo Arsenal kumaliza deni la benki kwa muda ulopangwa na pesa kuanza kuingia zikiwemo kuuzwa kwa yale majengo pale penye uwanja wa zamani Highbury, Arsenal sasa wana pesa na waweza kusajili mchezaji yoyote wakitaka.

Tiyari mipango ipo mbioni bwana Andrea Beta yupo sokoni na kuna wachezaji wa kufuatilia kama Tijjani Reijnders wa Manchester City ambae atagharimu kama pauni milioni 45 hivi na Bdadley Barcola wa PSG ambae nae Arsenal wamemweka kwenye "Radar".

Na wapo wachezaji kama Gabriel Jesus ambae huenda akarudi Brazil kwenye timu ya Palmeiras na Jose Mourinho ataka kumsajili Gabriel Martinelli.

Beki Piero Hincapie atasajiliwa rasmi baada ya kuchezea Arsenal kwa mkopo kutoka Bayern Leverkusen. Declan Rice nae ambae apata mshahara wa pauni 240,000 kwa wiki na Julian Timber ambae mshahara wake ni 90,000 kwa wiki mikataba yao itaboreshwa (fresh Terms) ili kuendana na hadi ya kubwa bingwa wa ligi kuu ya UK.

Hivyo wana Gunners, mie Richard ambae nilkuwepo mwaka 2004 leo nipo na ntakuwepo.

Balantanda, BAK, Steve D na wengine karibuni hapa jukwaani tushereheke ubingwa wa baada ya miaka mingi ya maumivu.

COYGs
 
Kuna jamaa umu alkuwa kila siku anaulizia usajili wa Declan Ubwabwa ni hasara au faida? Hebu ajibiwe jamani, maana yule ndo alkuwa mtu mwenye kejeli namba moja umu, tofauti na wale waliokuwa wanasema arsenal ni bottlers au Netflix km Patrice evra na Ryan cherki na rodri wa mancity
 
Mkuu, umeongea jambo la maana sana yaani ukiwa shabiki wa timu kama Arsenal yakupasa kutokata tamaa.

Nilipokua pale London mwaka 2004 niliona jinsi Invicibles walivyonyakua kombe lile pale Highbury Islington nahodha akiwa Sol Campbell.

Lakini kuna kitu Arsene Wenger alifanya nacho ni kuishawishi bodi kuingia benki na kuchukua mkopo wa milioni 300 kujenga uwanja mpya wa Emirates.

Lakini Arsenal ikayumba uwanjani huku Wenger akishindwa kusajili wachezaji wa maana akawa akisajili wachezaji kwa mkopo. Wachezaji wengine walikuwa na kiwango cha chini sana akina Yaya Sanogo, yule beki wa hovyo alieitwa Schuilachi na wengine.

Angalieni yanowapata Tottenham Hotspurs wameiga kuchukua mkopo na sasa watishiwa kushuka daraja.

Hivyo Arsenal kumaliza deni la benki kwa muda ulopangwa na pesa kuanza kuingia zikiwemo kuuzwa kwa yale majengo pale penye uwanja wa zamani Highbury, Arsenal sasa wana pesa na waweza kusajili mchezaji yoyote wakitaka.

Tiyari mipango ipo mbioni bwana Andrea Beta yupo sokoni na kuna wachezaji wa kufuatilia kama Tijjani Reijnders wa Manchester City ambae atagharimu kama pauni milioni 45 hivi na Bdadley Barcola wa PSG ambae nae Arsenal wamemweka kwenye "Radar".

Na wapo wachezaji kama Gabriel Jesus ambae huenda akarudi Brazil kwenye timu ya Palmeiras na Jose Mourinho ataka kumsajili Gabriel Martinelli.

Beki Piero Hincapie atasajiliwa rasmi baada ya kuchezea Arsenal kwa mkopo kutoka Bayern Leverkusen. Declan Rice nae ambae apata mshahara wa pauni 240,000 kwa wiki na Julian Timber ambae mshahara wake ni 90,000 kwa wiki mikataba yao itaboreshwa (fresh Terms) ili kuendana na hadi ya kubwa bingwa wa ligi kuu ya UK.

Hivyo wana Gunners, mie Richard ambae nilkuwepo mwaka 2004 leo nipo na ntakuwepo.

Balantanda, BAK, Steve D na wengine karibuni hapa jukwaani tushereheke ubingwa wa baada ya miaka mingi ya maumivu.

COYGs
Reminders na Barcola wanini, chukua kvatchelia, yule dogo wa Bournemouth (Kroup), chukua Morgan Rodgers, etc.
 
Pep anakua mshauri wa City Football Group.

Angalia dominance itayotokea hapa
 
20260523_105505.jpg
 
Reminders na Barcola wanini, chukua kvatchelia, yule dogo wa Bournemouth (Kroup), chukua Morgan Rodgers, etc.
Ni masksuti ndo wapo field kutafuta.

Ila kazi ya kwanza ni kuondoa wachezaji (moving them on) kama Martinelly, Norgard, Jesus na hata kipa Kepa.

Ila Arsenal priority signings ni kiungo (kuziba nafasi ya Norgard akiondoka), mshambuliaji wa pembeni (winger) na mshambuliaji (kuziba nafasi ya Jesus akiondoka.

Kroupi Bournemouth wataweka at least 80M na hizo si nyingi kwa Arsenal ila ni unnecessary.
 
Mkuu, umeongea jambo la maana sana yaani ukiwa shabiki wa timu kama Arsenal yakupasa kutokata tamaa.

Nilipokua pale London mwaka 2004 niliona jinsi Invicibles walivyonyakua kombe lile pale Highbury Islington nahodha akiwa Sol Campbell.

nahodha mkuu alikuwa ni patrick vieira ,ma nahodha wengine wasaidizi walikuwa ni thierry henry ,dennis bergkamp ,ashley cole na robert pires.
 
Havertz has been injured four times

Saka has been out for a total of four months

Timber is currently sidelined for two months

Merino has been out for over four months

Eze missed two months

White was injured at the start of the season

Madueke was out for two months

Odagaard hasn’t been fully fit for most of the season

I don’t even want to talk about Calafiori being made of glass.

We didn’t make any signings in January, yet we made it to the UCL final unbeaten and Premier League Champions already after 22 years!

Let's drop hearts 🤍 for our legendary manager, MIKEL ARTETA!

1779535401810.jpg
 
Kwa sasa chochote tutakachokisema hamtatuelewa kirahisi, Jumamosi PSG akishawatuliza tutaongea na mtatusikiliza vizuri
 
Back
Top Bottom