makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,428
- 108,438
Sheikh, ni mwendo wa shangwe tu.Karibu Mombasa tubanjuke sababu ya ubingwa wetu wa EPL.
Sheikh, ni mwendo wa shangwe tu.Karibu Mombasa tubanjuke sababu ya ubingwa wetu wa EPL.
Sasa roho yangu imetulia tu.Sheikh, ni mwendo wa shangwe tu.
Uyu msnge ni Arsenal ila njaa tu ndio imempeleka uko unyumbuni japo anajificha kwenye kivuli cha nyukestoShabiki yupi huyo kaka😄😄
Arsenyetoooo, Ndoo hadi mchukue yuefa, [emoji23][emoji23][emoji23]Mamaa inaitwa arsenalNDOO. Alafu fanya kuhudumia ndoa hapo
We fala shenzi nn mmmaaeAsenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.
Pumbaaavu zakoo, niko primary hapo.Najua 2004 ulikuwa katika tumbo la mamayo ama hukufikiriwa kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mnashangilia ubingwa uku kwenye mikeka yenu mlimpa city mazima ila arsenal
[emoji23][emoji23][emoji23] Maka si utulie kidogo, Lol.Unataka kusemaje dogo janja?
Natuliaje na arsenal kabeba NDOO , miaka 22 sio mchezo.[emoji23][emoji23][emoji23] Maka si utulie kidogo, Lol.
Hongereni bhana
Hongera aise maana umejitahidi 😂.Pumbaaavu zakoo, niko primary hapo.
Kwa kweli hongereni sanaaa!! Mkichukua na Yuefa, mbona itabidi nitafute Pa kujifichaa,Natuliaje na arsenal kabeba NDOO , miaka 22 sio mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera aise maana umejitahidi [emoji23].
Mimi nafsi yangu inaburudika bila kuiburudisha.Sasa roho yangu imetulia tu.
Na ujifiche kweli, maana itabidi tuwajutishe mliunanga sana 🤣Kwa kweli hongereni sanaaa!! Mkichukua na Yuefa, mbona itabidi nitafute Pa kujifichaa,
Waja wamenipania hadi naogopaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona vile bwana Santi Cazorla 😁.Mimi nafsi yangu inaburudika bila kuiburudisha.
Matyako yako nguruwe pori, we si ulisema hatubebi kombe ila sasa hivi una payuka ka Umewekea pilipili makalioni.Asenoo wote qumamao! Mmekaa miaka 22 bila kombe, jana mmeshinda kombe kwa ndondokela mnakuja hapa kutupayukia makelele yenu. Nyie wehu nini? Je, mngeshinda hilo kombe baada ya miaka 10 si mngetembea barabarani bila nguo? Sijawahi kuona mashabiki wenye akili za kiuendawazimu kama hawa wa Asenoo. Ni shida.