Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,309
Mzee akaona gundu gani hii 😅
Shukran mkuu.Wadau wa Gunners hongereni sana hasa wale die hard fans kama Castr , arsenal2004 mkorea Will Jr na mwanangu HENRY14 pamoja na wengine wote ambao hamkuionea aibu timu yenu hata ilipokuwa inapitia nyakati ngumu zaidi.
Kama mnavyojua furaha ya mpira inakuja unapokuwa na mnyonge zaidi yako, hivyo kwa fans wa timu pinzani. arsenal ilikuwa timu inayofurahisha kutaniwa kutokana na rekodi zake kwenye mbio za mataji makubwa.
Kusema kweli tumehuzunika sana kwa jana kuchukua moja ya mataji makubwa ila hatuna namna tarehe 30 tutakuwa dhidi yenu ili tuendeleze utani wetu wa jadi maana tofauti na hapo pataboa sana humu na mtarudi kuwa mateka wa hamis77 kabla Flano hajaja kuwaokoa na mbwembwe zake za inverted pressing ambazo hazikuzaa matunda hadi mlivyorudi kwenye LOW BLOCK ila mkaibatiza jina la kiutaalam kuwa ni HARAM FOOTBALL
Gabriel is my cup of tea, nampenda sana!kati ya hawa wawili.. mmoja anaenda kuwa mchezaji bora wa msimu ndani ya arsenal.
wamba wamevuja jasho kinoma..
Kama rahisi na ww beba mkuu....nyny ni makubwa jinga ya hivi sasa...mara ya mwisho kubeba ligi mabomu ya gongo la mboto ndo yalikuwa yanalipuka...kazeni miguu msimu ujao....ila UEFA itakuwa na majina ya ajabu msimu ujao....Mbeumo sijui Dialo mara Kunya huku Kobe Mauno....yaani vurugu tafrani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hongereni sana wanangu wa Arsenyau kwa msaada wa VAR kufanikiwa kubeba English Corner Trophy msimu huu.
Hii ni fedheha kubwa mno kwa ulimwengu wa Soccer. View attachment 3591885
🤝❤️Kaka Mimi na wewe damu zimeendana...na hii ipo ivyoo period..
Much respect kwako.
Hamna uwezo wa kubeba chochote,mkibeba hata kikombe cha kahawa msimu huu niitwe jibwa koko.
Maghayo ndio Busu la Kenge ila sasa dishi limeyumba anajiita loose Nut Mcmillan de Maghayo
Tatizo mgomviGabriel is my cup of tea, nampenda sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Roho inauma kinoma huku mtaani tunaishi kwa shida sana, ila sio mbaya furaha yetu tumemuachia PSG tunajua hawezi kutuangusha.CONGRATULATIONS KIBAO SANA KWETU ZE GANAAAAAAZ.
KUMBE JF IPO,
Nilikuwa nashindwa kuingia mpaka nikakata tamaa. Ila sasa naona tupo hewani. Akina Flano na Labyrinth 84 lazima watutambue sisi ni nani.
Flano najua amekuwa anatamani kuhamia chama hili kubwa muda mrefu sema tu kikombe kilikuwa kinamzuia ila sasa tumekipata jamaa atazamia kwetu mazima.
Labyrinth 84 najua alijidanganya kuhamia kwa wale wahuni wa Newcastle ila najua tayari amesharudi huku kwetu. Hongera sana kaka. Sasa na wewe ni bingwa wa Ligi Kuu Uingereza, siyo tu kile ki Carabao. Kile kikombe hata sisi tulifika fainali msimu huu ila tu tukazingua tukaanguka kwa yule ambaye tumempiga bao na kuchukua ubingwa mbele yake. Kwa kifupi tumebeba kombe kubwa zaidi na huenda tarehe 30 May tutachukua lingine mbele ya akina Dembele na Hakimi.
Yaani kwa sasa duniani hakuna chama kubwa kama ARSENAL!!!
Ipo siku na sisi tutachukua hili goma. Na hiyo siku ni 30/05/2026.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Roho inauma kinoma huku mtaani tunaishi kwa shida sana, ila sio mbaya furaha yetu tumemuachia PSG tunajua hawezi kutuangusha. View attachment 3592357
Tumpe kipa wetu Raya. Jamaa ametuokolea points kama 15 - 20 kwa saves zake matata aisee.kati ya hawa wawili.. mmoja anaenda kuwa mchezaji bora wa msimu ndani ya arsenal.
wamba wamevuja jasho kinoma..
Mkuu ulipotea kitambo sana hadi nikawa na wasi wasi na MO29Shukran mkuu.
Sasa tufurahi kwa muda mpaka tarehe 30 na tukiweza kubeba UCL tutambe mpaka ma aliens kule Mars na Jupiter watutambue kuwa sisi ndiyo mabingwa.
Kwenye orodha yako umemsahau Carrick mkuuMsimu ujao naona ligi itakuwa ngumu zaidi, paka sasa kuna Arteta, Alonso na Maresca( kama atatua City), wote wakali na wana wachezaji wazuri
Walikuwa wengi sana ila shid ilikuja kwamba ukienda tofauti na mtizamo wa masingeli, anakuundia zengwe kiasi kwamba jukwaa zima wanakuona mamluki wa timu. Wengine wengi waliamua kujitoa jukwaani sababu ya masingeli, jamaa alikuwa mtemi sana kwenye huu uziMkuu fuentte Nashangaa mpaka saivi, sijamwona Aaron Arsenal. Au tuseme ana multiple ID, jamaa ni moja ya die hard fans wa arsenal. Kwa kupitia michango yake mingi, kwenye hili jukwaa. Alikua sio tu mchambuzi wa mpira, Yani alikua na zile pigo za kiutafsiri, kama marehemu mkandala lufufu. Aliyekuwa mtafsiri wa action movie hasa kipindi cha mikanda ya (VHS). Aliponikosha sasa hadi kwenye masuala ya dini jamaa yumo.
Sijui ndio huyu huyu, hamis77 masingeli. A.K.A kiraka kinachofiti kila sehemu, kuanzia kwenye mpira,dini na jukwaa la kimataifa. Sio kwa ubaya, niseme tu baadhi ya mashabiki wa arsenal, huwa mnaishi kwenye dunia yenu ya kipekee. Hawa watu inatakiwa warudi, na waendelee na michango yao kwenye ili jukwaa.
Mkuu tarehe 30, nikiwa kama mshabiki mwenzako wa man Utd, nitakua upande wa arsenal.
Hata Aaron arsenal nae alikua mtemi sijui ndio huyu huyu masingeli.Walikuwa wengi sana ila shid ilikuja kwamba ukienda tofauti na mtizamo wa masingeli, anakuundia zengwe kiasi kwamba jukwaa zima wanakuona mamluki wa timu. Wengine wengi waliamua kujitoa jukwaani sababu ya masingeli, jamaa alikuwa mtemi sana kwenye huu uzi
Huwezi amini nina zaidi ya miezi miwili sijaingia jukwaa letu kisa kuwasagia kunguni hawa jamaa ila bahati haikuwa upande wetu. Turudi kwetu tukamjadili Carrick wetu kama atatuondolea hii fedhea ya arsenal kuchukua ubingwa mkuuHata Aaron arsenal nae alikua mtemi sijui ndio huyu huyu masingeli.
Nilikuwa nashindwa kuingia tangu mwishoni mwa mwezi wa kumi hivi mwaka jana nadhani, mpaka nikaacha hata kujaribu. Baada ya ubingwa nikasema nijaribishe tena niwape salam kina Flano kama itaubali...nikakuta hali imerudi kuwa kawaida 😁😁😁Mkuu ulipotea kitambo sana hadi nikawa na wasi wasi na MO29