The Anfield
Senior Member
- Dec 15, 2025
- 165
- 172
Hawa sio wa buku 2 ni Wa 2010 kabisa, timu imeanza kuchukua makombe mbalimbali hasa Epl kuanzia 2010's enzi za pellegrino na sasa guadiola
Oya dogo semenya umeuona mgoli wa dogo Yamal jana?Haaland kwisha kabisa.
Rajuun.
Hahahahahaaaaa nilionaOya dogo semenya umeuona mgoli wa dogo Yamal jana?
What a golazo.
Mwenzio Herzargo alichoka kujisemesha mwenyewe akaamua kuukimbia Uzi😅Hey citizens
Kikubwa wanaona mimi ndo yule niliye underground nashkilia nguzo ya threadMwenzio Herzargo alichoka kujisemesha mwenyewe akaamua kuukimbia Uzi